mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Ngoja niwaeleweshe. Unaweza kusema kila mtu(jamii fulani ina mungu wake) but swali linakuja ni yupi mungu wa kweli????. Mfano kwa waislamu ambao mungu wa miungu yoote. Wako wanaoabudu jua,mawe,ng'ombe,majabali,jua,masabamu,wanadamu(Issa ah) hao wooote wako chini ya milki ya mungu (Allah) wa waislamu
Mungu wa kweli ni wa Wakristo tu. Hukunaga mwingine kama yeye. Hata waislamu na dini nyingine wanalijua hilo kabisa ila huwa wanashupaza shingo tu.