Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Mkuu Jile79 Hapa ndipo wakristo mnapotuchanganya..

Yesu ni Mungu?
au
Mwana wa Mungu?

Ama Mtume?

Naomba majibu Mkuu..
Ili uelewe na usichanganyikiwe lazima uwe tayari kuelewa kwanza na uwe na akili timamu na uwe na uwezo wa kuchanganya za kuambiwa na za kwako......Ntaka nikufundishe kwa kutumia mfano km utakuwa tayari kuelewa maana mnaongoza kwa ubishi wa kulazimisha mambo hata km jambo ni jepesi na rahisi kueleweka. Kabla ya maelezo mengine ni kuwa Yesu ni Mungu na Yesu ni Mwana wa Mungu. Kwanza uelewe kuwa neno Mungu limetokana na "umba" au "uumbaji" au "kuumba" yaani kutengeneza----Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake(huu ni ubishi mwingine wa waislamu maana allah hafanani wala hafananishwi). Wewe ni fundi vitanda, baadaye umemfundisha mtoto wako kutengeneza kitanda, baadaye mkashirikiana pamoja kutengeneza kitanda kizuri.Je, prs nani atakuwa ametengeneza hicho kitanda kizuri? Jibu ni wote. Kama watapewa jina moja bila kujali kuwa mmoja ni baba mwingine ni mwana wataitwaje? Jibu ni kuwa wote wataitwa Fundi lakini kuna fundi baba(Mungu baba) na Fundi Mwana (Mungu mwana).Kwenye Biblia Mungu baba anajulikana kama Yehova na Yesu haitwi Yehova na wala Yehova haitwi Emmanuel. Unajua Biblia ni tamu na raha mno lakini anaweza kuelewa yule tu niliyemwelezea hapo mwanzo. Kumbuka Bibilia haisomwi km vile unasoma kurani na vitabu vingine.
 
Mkuu salama?

Ule Uzi ulifungwa siku ile!

Dhana ya Dunia Kua duara hao wavumbuzi waliitoa ktk maandiko!

Salama mkuu, sio hiyo ya dunia kuwa duara peke yake. Bali hata nadharia ya Continental Drift(kugawanyika kwa dunia ) ukisoma Mwanzo 10:25 inasema ...Jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika. Ule uzi kweli waliufuta. Ila naamini bado kuna waliotoka na kitu cha kuwasaidia.
 
Una fikra fupi kama vipimo vya Chupi.

Umejuaje mkuu.......Naona unajitukana mwenyewe tumbili ww.....Unaeleweshwa unaleta mitusi na hii ndo shida yenu hata mnapokuwa shuleni mnafundishwa mnafikiria pilau, taarabu, kahawa na kashata........
 
Yes,the holly Bible is the only living book under this world,wakubali wakatae but the truth will forever stand
Tatizo munguwenu wakristo aliuliwa na viumbe wake mwenyewe ndio maana watu wanakua na mashaka kama kweli ni mungu? au watu tu waliamua kumtwisha sifa zisizo stahili!!. Kwanza Mungu wenu (Yesu) anasifa nyingi zifananazo nazakwangu, alipokua na njaa alikula, alipokua na kiu alikunywa, alipobanwa na mavi alikimbilia chooni kwenda kunya. Hivyo nikizilinganisha sifa hizo naona kabisa Yesu hakutofautiana kabisa na mimi.
 
Mungu hadhihakiwi!
Hata hivyo,post hii ni uzushi,na imethibitika wote hapo juu walikufa vifo vya kawaida!
Baadhi walikuwa na HIV,wengine[kwa mfano huyo binti wa Brazil] hakuna ushahidi popote kuwa kumewahi tokea ajali ya aina hiyo.

CLICK LINK hii:

Beware: Men Who Mocked God - Religion - Nairaland

Halafu msome Lagerwhenindoubt,
kaweka links za sababu za kifo cha kila mmoja hapo.
 
Ni huyu huyu wanadai alipambana na shetani kiumbe wake.. hivi hadi kupambana inamaana alishindwa kufanya projection na kujua kwamba ipo siku huyu kiumbe atanigeuka..je kwanini atupwe kwetu.. narudia tena utunzi wa vitabu hivi si makini

Kabla hajujakujibu napenda kujua wewe ni binadamu ama ni jini?Maana kama ni jini una uhakika siku yako ya hukumu ya mauti haijafika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Binafsi nimeona watu wakiponywa magonjwa yaliyoshindikana maospitalini baada ya kumsihi Mungu wakapona. Nawasihi ndugu zangu tuwe makini sana tunapozungumza habari za Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na vyote tuvionavyo na tusivyoviona. MUNGU ni mkuu sana sana...! Upeo wetu hauwezi kujua mambo yote ya MUNGU na huyo ndiye aliyeshika uhai wetu. Nashauri tumtii yeye tu.
 

Mbona unaignore mistari inayoelezea kwa ufasaha na maksudi umbo la dunia unakimbilia mstari mmoja ambao una walakini kitafsiri?!!!! dunia yenye pembe, yenye nguzo, isiyosogea, jua lenye kuizunguka dunia?!!!!!! (Psalm 104:5, Psalm 96:10, Ecclesiastes 1:5, kidogo Quran naona wakati inaandikwa walishaanza kupata elimu ya mambo ya anga kidogo, Quran, 21:33)
 

Mahospitali tuyageuze makanisa.
 

Amen!
Na kuna mifano hai ya maangamizi toka mbinguni,itumike hiyo,si hizi empty hersays za mitandao.
 
mleta mada kwahii unataka kuwaambia nini Kiranga na nyani ngabu
 
Last edited by a moderator:

Thx Mkuu!

Naona na Leo kuna hoja mchanganyiko hapa! Naangalia tu hoja za watu!
 
Kwahiyo hapo Mungu ni Yesu au babayake Yesu? Acheni kujiongopea Yesu awezi kua Mungu hata siku moja. Mungu gani aliezaliwa? na (mwenye mzazi) Mungu gani aliehukumiwa na Kumbe chake mwenyewe? Mungu gani alikua anakula, kunya, kukojoa? Mbona Mungu Yesu anafanana na sisi kwasifa kibao? (kama nizo zitaja hapo juu) Yesu sio Mungu, bali Yesu Ni mtume (mjumbe) wa Mungu tu. Yesu cheo chake nisawa na Muhammadi, Yacobo, Ibrahim, Mussa, na Yusuph (joseph) na wengine wengi.
 
Kweli Mungu yupo na ni mmoja tu hana mshirika, hivyo ni vema kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake. Mwisho Wa siku hatujui nani yupo sahihi muislamu au Christian.

Wakristo, waislamu, wabudha, wahindu, n.k.
 

Leonard usitumie logic.....just hav faith bratha...shetani yupo..so mungu lazma awepo
 
Mungu msamehe kwa vile halijui alisemalo...
 
Ya mungu tumwachie maana aliyetoa post we unaemkosoa na wewe unaemsapoti yawezekana ndie kawapa hiyo nguvu sasa tusikaribishe balaaa leteni mambo yanayojadilika humu
 
MUNGU WA KWELI IPO SIKU ATAKUSAIDIA UTAONDOKA KWENYE HUO UPOTOFU!Ili uelewe na usichanganyikiwe lazima uwe tayari kuelewa kwanza na uwe na akili timamu na uwe na uwezo wa kuchanganya za kuambiwa na za kwako......Nataka nikufundishe kwa kutumia mfano km utakuwa tayari kuelewa maana mnaongoza kwa ubishi wa kulazimisha mambo hata km jambo ni jepesi na rahisi kueleweka. Kabla ya maelezo mengine ni kuwa Yesu ni Mungu na Yesu ni Mwana wa Mungu. Kwanza uelewe kuwa neno Mungu limetokana na "uumbaji" au "kuumba" yaani kutengeneza----Mungu (kwa mujibu wa Biblia takatifu) alimuumba mtu kwa mfano wake(huu ni ubishi mwingine wa waislamu maana allah hafanani wala hafananishwi). Wewe ni fundi vitanda, baadaye umemfundisha mtoto wako kutengeneza kitanda, baadaye mkashirikiana pamoja kutengeneza kitanda kizuri.Je, prs nani atakuwa ametengeneza hicho kitanda kizuri? Jibu ni wote. Kama watapewa jina moja bila kujali kuwa mmoja ni baba mwingine ni mwana wataitwaje? Jibu ni kuwa wote wataitwa Fundi lakini kuna fundi baba(Mungu baba) na Fundi Mwana (Mungu mwana).Kwenye Biblia Mungu baba anajulikana kama Yehova na Yesu haitwi Yehova na wala Yehova haitwi Emmanuel. Unajua Biblia ni tamu na raha mno lakini anaweza kuelewa yule tu niliyemwelezea hapo mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…