Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Mbona kama mnalazimisha watu wajue kuwa mungu yupo?

Kama yupo acheni kupiga kelele watu watajua wenyewe.

Mnawatisha watu kwa mawazo ya ajabu.

Hakuna kitu kinaitwa Mungu kiliumba dunia. Mungu wako wewe ni ubongo.

Usipokua na ubongo hata hilo jina mungu hutalikumbuka.

Shtuka, mungu ni mchezo wa kuwapumbaza watu wasifikirie vikubwa wabaki ndani ya box ili watawaliwe vizuri.

Mimi leo nasema hakuna kitu kinaitwa mungu nataka yanitokee hayo mabaya.

Jiongezeni acheni uvivu wa kufikiria
 
Basi tutarajie jambo hapa mkoani kwetu saridalama maana kuna mtu aliropoka
 
Ata urusi ikiw taifa kubwa walibweta kwa kufanya yoa kinyume na mungu yaliyowapaa yanajulikana
 
Kabla ya kuleta thread muwe mnafanya utafiti kidogo,thread kama hii ilikwishaletwa humu jf kitambo sana
 
baadhi ya facts hapo zilikuwa za kweli kama hiyo ya TITANIC lakini nyingi hazijathibitishwa kama hiyo ya raisi wa blazil nisamehe kama nimecoment out ya ulichoandika manake sijasoma kabisa thread yako
 
Mbona kama mnalazimisha watu wajue kuwa mungu yupo?

Kama yupo acheni kupiga kelele watu watajua wenyewe.

Mnawatisha watu kwa mawazo ya ajabu.

Hakuna kitu kinaitwa Mungu kiliumba dunia. Mungu wako wewe ni ubongo.

Usipokua na ubongo hata hilo jina mungu hutalikumbuka.

Shtuka, mungu ni mchezo wa kuwapumbaza watu wasifikirie vikubwa wabaki ndani ya box ili watawaliwe vizuri.

Mimi leo nasema hakuna kitu kinaitwa mungu nataka yanitokee hayo mabaya.

Jiongezeni acheni uvivu wa kufikiria
Mungu akusamehe bure,aisee
 
Mwenyezi Mungu alikuwepo,yupo na atakuwepo. Atusamehe viumbe wake tunaokwenda kinyume na mapenzi yake.
 
Mbona kama mnalazimisha watu wajue kuwa mungu yupo?

Kama yupo acheni kupiga kelele watu watajua wenyewe.

Mnawatisha watu kwa mawazo ya ajabu.

Hakuna kitu kinaitwa Mungu kiliumba dunia. Mungu wako wewe ni ubongo.

Usipokua na ubongo hata hilo jina mungu hutalikumbuka.

Shtuka, mungu ni mchezo wa kuwapumbaza watu wasifikirie vikubwa wabaki ndani ya box ili watawaliwe vizuri.

Mimi leo nasema hakuna kitu kinaitwa mungu nataka yanitokee hayo mabaya.

Jiongezeni acheni uvivu wa kufikiria
Duu punguza kidogo mkuu unakoelekea ni kubaya
Wana sayansi hawaamini kama mungu yupo lakini kila mmoja kwa nafsi yake anaamini
 
Back
Top Bottom