Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni Yeye yule aliyekuwepo , aliyepo na atakayekuwepo.1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Is this all?
hakuna mungu wa isaka wala yakobo,kuna mungu wa wanadamu wote.Mmekuwa kila uchao mkisema hapa na kwenye kitabu chenu kumeandikwa Mungu anaezungumziwa kwenye biblia ndio huyohuyo Mungu wenu na anasema kuwa yeye ndie aliyewapa Al-kitaab wayahudi
Sasa nakushangaa unaposema hayo uliyosema hapo
Kwa upande wa Wakristo wao hata kama wakisema kama huyo uliyem quote hapo juu hawana hatia kwasababu wanaamini kuwa mungu wenu ni wakipagani,sasa sijui kama unajua kuwa kum accuse Mungu wa kwenye Biblia ni kum accuse mungu wa kwenye kitabu chako au unapiga porojo tu hapa!
Mungu ni Yeye yule aliyekuwepo , aliyepo na atakayekuwepo.
Mungu ni Mwanzo na Mwisho, ni Alpha na Omega.
Yeye vile vile ni Neno linaloumba.
Mungu hataniwi, hadhihakiwi, aona na asikia yote.
Hivyo basi wanaomdhihaki na kumtukana ngu, wanajiondolea pumzi ya bure waliyowekewa , tenazi waliyowekewa hata bila ridhaa yao wenyewe.
kuna watu wanataka tuamini kuwa mungu alianza kuwepo wakati wa yakobo na isaka,eti wanajibinafishia hadi mungu anakua wa fulani kama kwamba isaka na yakobo ndo walimuumba huyo mungu.Mungu ni Yeye yule aliyekuwepo , aliyepo na atakayekuwepo.
Mungu ni Mwanzo na Mwisho, ni Alpha na Omega.
Yeye vile vile ni Neno linaloumba.
Mungu hataniwi, hadhihakiwi, aona na asikia yote.
Hivyo basi wanaomdhihaki na kumtukana ngu, wanajiondolea pumzi ya bure waliyowekewa , tenazi waliyowekewa hata bila ridhaa yao wenyewe.
Binamu Evelyn Salt pitia na huku leo
kuna watu wanataka tuamini kuwa mungu alianza kuwepo wakati wa yakobo na isaka,eti wanajibinafishia hadi mungu anakua wa fulani kama kwamba isaka na yakobo ndo walimuumba huyo mungu.
kwani huwajui hawa jamaa wanavyopenda kumtangaza mungu wao kwa vitisho ili tu ukubali sera zao.kama ni kufa kila mtu atakufa it is just a matter of time,kila mtu atakufa kwa wakati wake,hamna haja ya kutishana.Mungu hadhihakiwi!
Hata hivyo,post hii ni uzushi,na imethibitika wote hapo juu walikufa vifo vya kawaida!
Baadhi walikuwa na HIV,wengine[kwa mfano huyo binti wa Brazil] hakuna ushahidi popote kuwa kumewahi tokea ajali ya aina hiyo.
CLICK LINK hii:
Beware: Men Who Mocked God - Religion - Nairaland
Halafu msome Lagerwhenindoubt,
kaweka links za sababu za kifo cha kila mmoja hapo.
mkuu katika bibilia kuna miungu wa kila dizaini.Kweli nakubali Mungu Ni Wa wanadamu wote!
Mkuu kwa mfano mtu akisema Mungu Wa Eliya na mungu baali anamaanisha nini?
???????????????????????????Hujui mkuu.....Sijui kurani inasemaje lkn Biblia takatifu inasema "mimi ndimi mungu wako, usiabudu miungu wengine"....mfano ili umuone allah inabidi utambue kuwa mmuhamadi ndo mtume wake na yote ayafundishayo ni sawa lakini ili ufike Mbinguni umuone Mungu wa kweli ni lazima ukili na kuamini kuwa Yesu Mungu na Mkombozi wa ulimwengu wote na yeye mwenyewe Yesu anasema "MIMI NDIMI NJIA KWELI NA UZIMA, MTU HAJI KWA BABA BILA KUPITIA KWANGU".................Tubuni na kuamini injili sio hadithi za mtume
mkuu katika bibilia kuna miungu wa kila dizaini.
Isaya 40:22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia,.... Sasa sijui kama umeandika ukijua hili au umeandika kutokana na chuki binafsi. Binafsi nimefuatilia wale wote wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, wengi walipata matatizo ambayo ni mazito na kutokana na kuwaza juu ya matatizo yao, wakaona katika mawazo yao kuwa kama Mungu angekuwepo asingeruhusu wakapata hayo matatizo. Kuthibitisha hili, rejea historia ya bwana Charles Darwin.
Zaburi 82:1-2.
MUNGU akasimama katika kusanyiko la Mungu.
KATIKATI YA MIUNGU ANAHUKUMU.
Hata lini mtahukumu kwa dhuluma.
6-mimi nimesema,NDINYI MIUNGU ,na wana wa aliye juu,mtakufa kama wanadamu.
Ndo kusema katika biblia walikuwepo miungu kibao akiwemo wa isaka,yakobo,eliya,daudi etc.