Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

ImageUploadedByJamiiForums1394258260.491369.jpg

Me wala


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usimtafute Mungu ni nani kabla ya kuitafuta Imani yako kwanza maana huto mpata wala kumjua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umejuaje mkuu.......Naona unajitukana mwenyewe tumbili ww.....Unaeleweshwa unaleta mitusi na hii ndo shida yenu hata mnapokuwa shuleni mnafundishwa mnafikiria pilau, taarabu, kahawa na kashata........

Ndivyo kakobe anavyokufundisha?
 
naelewa vizuri sana,lengo langu hapa ni kuonyesha kuwa isaack na yakubu walikua wanaabudu mungu alietwa Yahweh...huyu yahwew kiukweli google history yake utaona kuwa he was a stormy pagan god of war,ndo maana kuna mahali wanataja mungu wa majeshi,alikua ni mungu wa uharibifu na mapigano na hilo liko well documented ndani ya bible.
Hivi wewe sijui hutaki kuelewa au unaogopa majibu utakayoyapata utakapoelewa

Kwanza sio kweli kuwa huyo Mungu ndiye aliabudiwa na Isaka na Yakobo

Pili,hata kama wewe uko sahihi unajua kuwa unamuweka mungu wako hatiani?
Nadhani unajua kabisa kuwa mungu unaemuabudu amezungumza kuwa ndie mungu anaetajwa kwenye al-kitaab [biblia] sasa kama unadai kuwa ni mungu wa kipagani huyo wako sijui ataponaje
Huyu Yahwew ama jehova hata yesu mwenyewe hajapata kumtaja kuwa ndo mungu,hata kipindi yesu anakata roho hapo msalabani kwa mjibu wa bible alitaja,ELLOH ELLOH na si jehova.
So mi nasema mungu wa isaack na jacob was a pagan god.
Unajua maana ya Elohi wewe au unazungumza kama umeshapata kahawa na kashata?
 
Mkuu Jile79 kwa hivyo unataka niamini

Yesu ni mungu!!!
Sio suala la kuamini bali ndivyo ilivyo
Katika mfano wako Baba hawezi kuwa na uwezo sawa na mtoto..(mwalimu na mwanafunzi)

Hivyo Ukristo unaamini mungu zaidi ya mmoja?
Mungu ni mmoja tu kijana
Yesu alikufa na kufufuka..Dunia ilikosa uwepo wa Mungu kwa siku tatu?
Kwani mungu unaemuabudu wewe kuna jambo linamshinda?
Hana uwezo wa kufanya chochote?
Yesu ni Emanuel..Je unaweza kueleza ni wapi Maria alimuita kwa jina Emanuel??
Maandiko yanasema ataitwa hivyo na nani?
Jina Yesu limetokea wapi?
Jina Yesu limetokana jina hilo kwa Kiarabu ambalo ni Yashu
Yashu limetokana na jina hilo kwa Kiebrania ambalo ni Yesh'ua

Yesh'ua limetokana na jina hilo kwa Kiebrania cha kale ambalo ni Yeh
Yeh limetokana na jina la Mungu ambalo ni AHYEH ASHER EHYEH
EHYEH ASHER EHYEH limetokana na jina hilo kwa Kiebrania cha kale ambalo ni YHY
ehyeh3.gif

Ehyeh Asher Ehyeh


Mkuu Jile79 naomba majibu yako..Waislam Tunaisoma Bible pia..
Mnaisoma ya nini wakati mnasema "imechafuliwa"?
Ingawa hakuna neno Bible kwenye Bible yenyewe..
So what?
 
if m not mistaken john lennon alisema yesu akirudi atashangaa mana amekuwa maarufu zaid yake
Christianity will go. It will vanish and shrink. I needn't argue with that; I'm right and I will be proved right. We're more popular than Jesus now; I don't know which will go first - rock and roll or Christianity.
John Lennon
 
kwenye titanic hapo kidogo nahisi naweza kuchangia
titanic ndo ilikuwa meli kubwa ya kifahari ambayo haijawahi kutengenezwa duniani na ikmbukwe iliwekewa measures zote za kuifanya ielewe kwa muda mrefu hata kwa siku 3 incase imetokea imegongana na kitu kingine lakini kitu cha msingi tujiulize huyo nahodha laiechaguliwa kuiendesha hiyo meli alikuwa ni mzoefu sana wa kupita bahari hiyo (zaidi ya mara 500) amazing meli ikikuwa inatembea kwa speed ya 22knots(0.0113177778 kilometers / second) amazing kwa speed ndogo kiasi hicho meli ilienda kugonga mwamba ambao dereva alikuwa anaujua fika uko wapi?(something was not normal kwa nahodha wa meli) kwa akili zangu nilihisi kwaba mtu akikabidhiwa kitu kipya anakuwa ancho makini sana na kukijali unfortunately ilikuwa ndivyo sivyo kwa dereva so kwangu mimii nahodha wa meli ameplay part kubwa sana zaidi ya asilimia 90 kwa kuzama kwa meli na wala sio kutokana na jinsi(muundo na vifaa) vilivyotumika katika utengenezaji wa meli
 
Kukufuru ni msamiati wa kuogopesha watu wasihoji tu.. yaani dini zina mbinu mbalimbali kuanzisha dogma watu wasihoji

Mkuu, go, go ahead na kukufuru. Of course kwa uelewa wako you are right.
 
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.

Mkuu madai yako hayana mashiko. Kama duniani watu wangekuwa hawafi halafu hao watu uliowataja hapo juu "wakamkufuru" Mungu kisha wakafa, ungekuwa na point. Lakini watu wanakufa kila siku hivyo it was just a
coincidence.Watu wengi tu wanamkufuru kila siku lakini hatujawaona wakifa.

Mtu anavuta sigara unategemea nini zaidi ya kufa kwa kansa ya mapafu. Halafu nyie mnasema eti alimkufuru Mungu. By the way John Lennon hakukutwa amekufa nyumbani kwake bali aliuawa na Mark David Chapman mwaka 1980 huko New York, USA.
 
Usiogope ni uzushi tu.. hakuna aliewai kufa kwa sababu ya kuhoji mambo haya ya kufikirika..na kudanganya watu..

Waumini bwana wana matatizo sana. Mi ningekuwa ndiyo Mungu ningewachapa wote kwa ajili ya unafiki wao. Wanajifanya kuamini kwa sababu ya woga tu wa kufa na kutojua waendako.

back to the topic, kila mtu atakufa, na kifo hakina uhusiano na sijui kuvuruga kwa Mungu wala nini. By the way, kwa nini Mungu muweza yote alimwacha shetani mwenye nguvu kama yeye atushawishi sisi wanadamu ambao ni viumbe dhaifu? Hivi nikitenda maovu Mungu ni haki na halali Mungu aniadhibu, ikiwa yeye mwenyewe tu ameshindwa kumshughulikia shetani mpaka leo?

jana nilimuuliza muumini mmoja akabaki kupiga blah blah tu na reference nyiiingi katika kitabu kisichoeleweka cha wayahudi!
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha

Tone la manii(mbegu za kiume)zilitoko kwenye tupu(uume) wa baba ako mzazi tena kwenye njia ile ile ambayo mkojo unapita na kwa tone ilo ukafanyika nyama na mifupa ukaa kwenye nyumba ya uzazi ya mama ako na baada ya muda ukazaliwa mpaka leo hii unaandika comment hii ila bado hautaki kuujua uwepo wa muumba wako hapo sitaki kugusia uliopitia kabla na baada ya kuzaliwa kwako tena unakuja na hoja kua vitabu ni primitive nikiwa na imani thabiti haujafanya jitihada ya kuvisoma vyote ukapata ufahamu ili ujenge hoja zako hapo hakuna kutishana ila hautaki amini kwenye kweli ila naamini Mungu ni msikivu na mpole pia ipo siku utaijua kweli yake na kuiamini angalau kwa kumkiri kua yupo na ni muumba wako inshaAllah may God forgive us kwa tuyatendayo maana ukamilifu wetu unajengwa na makosa yetu kwanza.
MUHIMU:-
Ni bora tukifungua akili zetu mara nyingi zaidi kuliko kuifungua midomo yetu.
 
Back
Top Bottom