Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje mkuu.......Naona unajitukana mwenyewe tumbili ww.....Unaeleweshwa unaleta mitusi na hii ndo shida yenu hata mnapokuwa shuleni mnafundishwa mnafikiria pilau, taarabu, kahawa na kashata........
Hivi wewe sijui hutaki kuelewa au unaogopa majibu utakayoyapata utakapoelewanaelewa vizuri sana,lengo langu hapa ni kuonyesha kuwa isaack na yakubu walikua wanaabudu mungu alietwa Yahweh...huyu yahwew kiukweli google history yake utaona kuwa he was a stormy pagan god of war,ndo maana kuna mahali wanataja mungu wa majeshi,alikua ni mungu wa uharibifu na mapigano na hilo liko well documented ndani ya bible.
Unajua maana ya Elohi wewe au unazungumza kama umeshapata kahawa na kashata?Huyu Yahwew ama jehova hata yesu mwenyewe hajapata kumtaja kuwa ndo mungu,hata kipindi yesu anakata roho hapo msalabani kwa mjibu wa bible alitaja,ELLOH ELLOH na si jehova.
So mi nasema mungu wa isaack na jacob was a pagan god.
Sio suala la kuamini bali ndivyo ilivyo
Mungu ni mmoja tu kijanaKatika mfano wako Baba hawezi kuwa na uwezo sawa na mtoto..(mwalimu na mwanafunzi)
Hivyo Ukristo unaamini mungu zaidi ya mmoja?
Kwani mungu unaemuabudu wewe kuna jambo linamshinda?Yesu alikufa na kufufuka..Dunia ilikosa uwepo wa Mungu kwa siku tatu?
Maandiko yanasema ataitwa hivyo na nani?Yesu ni Emanuel..Je unaweza kueleza ni wapi Maria alimuita kwa jina Emanuel??
Jina Yesu limetokana jina hilo kwa Kiarabu ambalo ni YashuJina Yesu limetokea wapi?
Mnaisoma ya nini wakati mnasema "imechafuliwa"?Mkuu Jile79 naomba majibu yako..Waislam Tunaisoma Bible pia..
So what?Ingawa hakuna neno Bible kwenye Bible yenyewe..
Hapo hapana vitisho hata chembe; unahitaji kujua tu kuwa Mungu yup ni mwenye mamlaka na nguvu; Mwingi wa huruma na rehema mtumainiye yeye usitumainiye akili zako.
Christianity will go. It will vanish and shrink. I needn't argue with that; I'm right and I will be proved right. We're more popular than Jesus now; I don't know which will go first - rock and roll or Christianity.if m not mistaken john lennon alisema yesu akirudi atashangaa mana amekuwa maarufu zaid yake
Kukufuru ni msamiati wa kuogopesha watu wasihoji tu.. yaani dini zina mbinu mbalimbali kuanzisha dogma watu wasihoji
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Usiogope ni uzushi tu.. hakuna aliewai kufa kwa sababu ya kuhoji mambo haya ya kufikirika..na kudanganya watu..
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
You have got something upstairs.mimi dada yako? Unataka kuninyima nini?
Eti mkuu, hebu tuambie, unakubali kwamba hao walikufa kweli kwa kumkufuru mwenyezimungu?Teh teh teh!
Mnyonga viuno bila kumtaja baba yake wa kufikia siku haijapita.