Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

Wanadamu wana roho zao buana

Usishanga hapa jf kuna wauaji wengi tuu ila wanaua watu wasio maarufu na wengine wanaua kwa siri na taratibu

Tundu aje aliamshe hili jambo, mashuhuda na ushahidi uwekwe mezani tujue mbivu mbichi
Bashite cyprian Musiba le mutuz Heri kisanduku nyaulingo na wasiojulikana ndiyo walikwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu hiyo ni kwa mujibu wa FBI waliopo ubalozi wa marekani ambao walichunguza shambulio kwa Siri kubwa
 
Tundu anatukwamisha na kutukwaza. Watu tunataka kujua sababu ya tukio lile lakini yeye binafsi halichukulii serious kabisa. Sijui kwanini haoni kama uhai wake ulikua mashakani na sijui kwanini haoni kupatikana kwa ukweli utasaidia raia wengine kama yeye kuwa salama kwa kile watakachokijua na kukielewa

Nguvu ambazo amekua akizunguka nazo kuongea angezitumia kuweka mambo bayana ingemsaidia yeye familia yake na watanzania kwa ujumla

Kuendelea kuongea maongezi anayojua wazi hayaleti suluhu ni kutufanya tuanze kuwaza mambo mengine.

Sipendi kuongelea kabisa hili swala la Tundu sababu liliniumiza sanaaa.... lakini kitendo cha yeye kuja kwa kampeni na kuondoka kwa haraka baada ya kushindwa uchaguzi huku akiacha mambo yake yakiwa yananing'inia kwenye vyombo vya usalama inafikirisha sana

Tuache ushabiki tuwaze sawasawa
Tundu lisu alidondoka haraka baada ya kupenyezewa taarifa kuwa atabambikiwa kesi na kufungwa kwa njia haramu za kishetani
 
Bashite cyprian Musiba le mutuz Heri kisanduku nyaulingo na wasiojulikana ndiyo walikwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu hiyo ni kwa mujibu wa FBI waliopo ubalozi wa marekani ambao walichunguza shambulio kwa Siri kubwa

Kwa hiyo baada ya FBI kuchunguza wakaamua wafiche siri😅😅😅
 
Back
Top Bottom