Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

Mkuu tumalizane hapahapa duniani, mambo ya mbinguni tuachane nayo
Huo ni mtazamo lakini , Mbingu ni halisi, na jehanum ni halisi kama vile dunia ilivyo halisi. Ukisema habari za Mbinguni tuachane nazo ni sawa na mtu anajenga nyuma wakati wa kiangazi kwenye mkondo wa maji, na kusema habari za masika tuachane nazo, wakati anajua kuwa masika na mafuriko, yanakuja katika miezi michache ijayo.
 
Hizi ni hadithi kama hadithi zingine
 
Hizi ni hadithi kama hadithi zingine
Unajali nini kama ni hadithi? Hata watu wakiuawa, na wewe ukawawtukana marehemu, ukafanya kila unachoona kinafaa, ni hadith kama hadith zingine. Wewe si wa kwanza.
 
CCM ndiyo inafanya watu wajinga
Hii sasa ni different dimension.
1 Kiswahili: Ujinga
2 Kiingereza : Stupid
3: Kibaradhuri : . غَبِيّ
4. Kireno cha Kibrazili: estúpido:
5. Kichina: 愚蠢的
6. Kizech: hloupý
7. Kidanish: dum.
8. Kidutch: dom.
Kwa lugha hizi, huwa wanasema ujinga wakimaanisha nini ? au nako kuna ccm?
 
Tunaongelea waliokufa kwanza. Kuna wengine walishashushwa na Mungu ili wajiunze list yao ni

Bashiri
Polepola
makonde
palamambo
Napo
kipilimbo
et al

Waliokithiri sasa wako kuzimu

Jiwi
kizaji
matheo
lwakatari
et al

nikikumbuka enzi za mitano tena huwa nacheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu:
View attachment 1931346
Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa?

Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa hakika ni kwenye zile nchi pendwa kama alivyoziita bwana Donald Trump peke yake.

Haya hayawezi kutokea kokote ambako utawala wa sheria au wa kidemokrasia una tamalaki.

Kwamba hao ndiyo wazalendo na kina Mh. Mbowe ni gaidi?!

Hivi ni kwa kutuona je?

Mambo kama haya ndiyo yanawafanya watu kama huyu kuonekana mashujaa kweri kweri:

View attachment 1931053

Ama kwa hakika kumlaumu Col. Mamady Doumbouya ni sawa na kumlaumu dobi kaniki kutokutakata.
Mi nazani Mungu alitaka kuwaonyesha waja wake yeye zaidi ya shetani, kama hataki ufe haufi hata iweje, Julius ni shaidi ktk hili.
 
Lakini mjue pia kwamba, bila kujali namna gani au wakati gani mtu anakufa, binadamu waliowengi watakufa ingawa najua si wote. Ila ukweli mmoja ni huu, binadamu wote watakaokuwa hai, na watakuwa walikufa, ipo siku tutasimama Mbele za Mungu, aliyetuumba na kutupa fursa ya kuishi duniani lakini tukiwa upande wake. Waliomkataa Mungu watahukumiwa adhabu na waliomkubali Mungu, watakirimiwa.
Kumkataa Mungu ni pamoja na kumpiga jirani yako kwa siri, uasherati, uzinzi, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, uwongo, kiburi, uuaji, uchawi, ushirikina, hila, wizi, chuki, usengenyaji, na yanayofanana na hayo.

Wafanyao mambo ya jinsi hii watahukumiwa. Lakini wakitubu dhambi hizi na kuacha kuzitenda, watasamehewe na Mungu hatazikumbuka tena.

Kama vile waliotaka kumuua Tundu Lisu wasipotubu watasimama hukumuni, vile vile na wanaofanya dhambi kutokana na tukio hilo, watasimama katika hukumu ya Mungu.

Ninyi nyote, MNAOMLAANI NA KUMPIGA MAWE RAIS MAGUFULI KWA KUAMINI KWAMBA NI YEYE ALIHUSIKA katika tukio la kupigwa kwa Tundu Lisu, MNAHAKIKA KWAMBA YEYE NDIYE ALIWATUMA WAUAJI, AU ALIRATIBU MPANGO WA MAUAJI YA TUNDU LISU, AU ALIFURAHIA MOYONI MWAKE TUKIO HILO? MNA HAKIKA KWAMBA ALISHIRIKISWA MPANGO HUO KABLA HAUJATEKELEZWA?
Angalieni ndugu zangu, ushabiki wa mambo msiyoyajua, usije ukawasababisha kufanya dhambi kwa Mungu kisha kuwaingiza hukumuni.

Mkuu kila mtu ana imani yake kuhusiana na maisha baada ya kifo na hata maisha baada ya dunia.

Hapa duniani, kwa usalama wa watu pana tuliowakabidhi dhamana. Rais ndiye aliye kinara wa hilo. Kwenye awamu ile pana watu waliokotwa kwenye viroba, pana waliouawa, pana waliopotea, pana waliojeruhiwa, nk. Wote hao kinyama kweli kweli na pasipo na uhalali wowote.

Hapo achilia mbali wale wa nyungu.

Ndugu muumini usisahau hao walikuwa na ndugu, jamaa na marafiki zao. Pana ndugu ambao maisha yao ni kama yalikoma baada ya waliokuwa wakiwategemea kunyamazishwa kinyama namna hiyo.

Tumeumizwa sana. Yawezekana wewe haya unayasikia sikia tu au kuyasoma kwenye mitandao. Kwamba yawezekana hukuguswa kabisa na kadhia hizi za kupotelewa wapendwa.

Kiswahili wanasema mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la sufi. Yawezekana maswahiba yetu kwako ni kama furushi la sufi tu.

Mbinafsi mkubwa mwenye ubinafsi uliopitiliza. Kuwa makini mkuu Mola hafurahishwi na wabinafsi wa namna hii.

Achana na hii mambo ndugu, maumivu yake bila shaka huyajui na wala hayakuhusu.

Yakuhusu vipi hali hayakukugusa?!

Hiiiiii bagosha!
 
Wanadamu wana roho zao buana

Usishanga hapa jf kuna wauaji wengi tuu ila wanaua watu wasio maarufu na wengine wanaua kwa siri na taratibu

Tundu aje aliamshe hili jambo, mashuhuda na ushahidi uwekwe mezani tujue mbivu mbichi
Mbona amjamsubiri Hamza ili mpeleleze
 
Maumivu yasiwe sababu ya kumkufuru Mungu. Mungu anabaki kuwa Mungu na huwezi kumkwepa wala kumbadilisha kwa ubishi wa kumpinga.
Yote yote, hata kama kila mtu anaimani yake baada ya kufa, imani hizo hazimbadilishi Mungu wala Mungu hawezi kubadili kufuata elimu za kipagani. Mungu ni Yeye yule jana leo la hata milele. Neno lake ndilo Kweli na Amina.
Mambo yote yakiwemo maumivu yatapita lakini Maneno yake hayatapita milele.
Yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halilpo. Ni mtu wa intellectual ability gani anaweza kupaa na mawingu watu wakishuhudia?
Ni nani aliyekata roho kukatokea tetemeko katika nchi, makaburi yakafunguka na wafu wakafufuk?
Ni nani kati ya watu wabishi kama huyu mpumbavu anayejiita ROBERT HERIEL anayempigia shetani debe hadharani utadhani anajua hata kesho kama ataamka salama ama la ambaye alikufa na akafufuka?
Ni binadamu gani ama shetani wa ROBERT HERIEL aliyewahi kufufua wafu na watu wakashuhudia?

Yakok yaliyojuu ya uwezo wa mwanadamu ambayo ni Mungu pekee anayaweza.
Mbingu na jehanum ni dhahiri.
Tubuni dhambi na kuziacha. Bwana Yesu anarudi upesi.

Tena wewe ROBERT HERIEL nakuagiza utubu. Usipotubu mkono wa malaika wa Bwana uwe juu yako kwa sababu wewe unafanya kazi ya anti-Christ kabla ya muda wenu. Kwe heri.
 
Wanadamu wana roho zao buana

Usishanga hapa jf kuna wauaji wengi tuu ila wanaua watu wasio maarufu na wengine wanaua kwa siri na taratibu

Tundu aje aliamshe hili jambo, mashuhuda na ushahidi uwekwe mezani tujue mbivu mbichi
Si ajabu na wewe unajiona una akili kweli
 
Maumivu yasiwe sababu ya kumkufuru Mungu. Mungu anabaki kuwa Mungu na huwezi kumkwepa wala kumbadilisha kwa ubishi wa kumpinga.
Yote yote, hata kama kila mtu anaimani yake baada ya kufa, imani hizo hazimbadilishi Mungu wala Mungu hawezi kubadili kufuata elimu za kipagani. Mungu ni Yeye yule jana leo la hata milele. Neno lake ndilo Kweli na Amina.
Mambo yote yakiwemo maumivu yatapita lakini Maneno yake hayatapita milele.
Yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halilpo. Ni mtu wa intellectual ability gani anaweza kupaa na mawingu watu wakishuhudia?
Ni nani aliyekata roho kukatokea tetemeko katika nchi, makaburi yakafunguka na wafu wakafufuk?
Ni nani kati ya watu wabishi kama huyu mpumbavu anayejiita ROBERT HERIEL anayempigia shetani debe hadharani utadhani anajua hata kesho kama ataamka salama ama la ambaye alikufa na akafufuka?
Ni binadamu gani ama shetani wa ROBERT HERIEL aliyewahi kufufua wafu na watu wakashuhudia?

Yakok yaliyojuu ya uwezo wa mwanadamu ambayo ni Mungu pekee anayaweza.
Mbingu na jehanum ni dhahiri.
Tubuni dhambi na kuziacha. Bwana Yesu anarudi upesi.

Tena wewe ROBERT HERIEL nakuagiza utubu. Usipotubu mkono wa malaika wa Bwana uwe juu yako kwa sababu wewe unafanya kazi ya anti-Christ kabla ya muda wenu. Kwe heri.

Nyani haoni kundule.

Angalizo: ajidhaniaye kasimama na ajiaangalie sana asije akaanguka?

Kabla ya kushughulika na vibanzi machoni pa wengine ungejikita zaidi kushughulika na boriti iliyoko machoni mwako.

Tuache sisi ku grief kwa namna yetu. Ikuhusu wewe vipi kama wewe ni mmoja wa wabaya wetu au haikuhusu?

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom