Watu waliozaliwa miaka ya 80s ndo hawa walikuwa wazinzi sana na leo watoto wao wanapita mule mule , karma is real.

Watu waliozaliwa miaka ya 80s ndo hawa walikuwa wazinzi sana na leo watoto wao wanapita mule mule , karma is real.

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo.


Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k


Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna uchawi.


Eti mtu Ana miaka 35 tayari Ana mjukuu ni hatari Sana MTU Ana 40 tayari Ana wajukuu watatu
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka, baba ulikuwa kitombile haswa umezalisha 10 tofauti wakiwa sekondari alafu wako kaguswa unapata presha.

Maza ulikuwa kitombwile vibaya sana maanko hawakauki kila siku alafu unajiuliza hupati jibu binti yako kajifunzia wapi umaraya keri.

Uhuni sio mzuri hata kama tutatumia kila neno zuri kuutetea.
 
Back
Top Bottom