Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.Umeleta ishu ya transgender kama kujitetea. Ila nitasimama na kauli yangu kwamba kila zama zina ushenzi wake. Na pia hakuna tabia mpya chini ya jua. Labda kwa sasa tunaziboresha tu. Tangu enzi za Sodoma watu walifanya upuuzi.
kuvaa tight, kuvuta bangi kuna shida gani ndgu yangu mbona una hoja nyepesi sana.Nimekuuliza kwamba ili jamii ionekane au ione imeendelea kiutamaduni ni kuvaa tight, kuvuta bangi, kuongeza matako na kuwa mashoga? Hayo ndio maendeleo ya kiutamaduni?
Wewe una tamaa sana, toka mwanzo nakwambia tamaa zako zisiwape watu tabu.Wewe unavaa nguo fupi ili ufanyeje? Na kama wewe ni (me) hebu waite hao wavaa nguo fupi na vi-tight waje hapa watuambie intention yao ni nini?
Wewe mbona umesalimika na ushoga, kuvaa mlegezo, kuvuta bangi (kama usemavyo).Mkuu kiumbe hai huathiriwa na mazingira huwezi kusema utawafunza wakwako tu na mwingine asifunze wakwake halafu wakwako akasalimika hiyo ni ngumu ingekuwa hivyo mmomonyoko wa maadili usingekuwa kwa kasi namna ilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya 1999 kushuka chini
Originally haukuwepo na kwa waliobainika kuingiliana kinyume wao kwa wao wengi walikuwa wakiuliwa ili kulinda utamaduni wa jamii husikaUshoga haukuwepo zamani?
Dini yangu inahusiana vp hapo mkuuacha kukwepa swali.
wewe ni dini gani?
Kama unaabudu mizimu sema..
Kama huamini kua Yesu ni mwokozi wa maisha yako sema pia.
Kama huamini kua mtume Mohammad (S.A.W) sio mtume wako wa mwisho pia semaa.
Mbona unakwepa kijana, wewe dini gani au unaabudu mizimu??
Sasa mtu kama wewe ulie katika marginal zone siwezi kurefusha mjadala kwenye hilikuvaa tight, kuvuta bangi kuna shida gani ndgu yangu mbona una hoja nyepesi sana.
Unajua faida za kuvuta bangi??
Kuongeza matako,kuongeza ukubwa wa uume, kuongeza kifua, kutengeneza six pack ni yale yale tu ila tu tatizo lako wewe una double standards na inferiority complex inayokufanya uogope jinsia ke.
ili tujue kua unaetetea tamaduni zako kweli upo kiafrica zaidi??Dini yangu inahusiana vp hapo mkuu
Umekaririshwa.Sasa mtu kama wewe ulie katika marginal zone siwezi kurefusha mjadala kwenye hili
Hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Mkuu Afrika hatuna mila moja inayotutambulisha kama bara lakini kwakuwa tuna makabila mengi ndani ya hayo makabila ndio zinapatikana mila na tamaduni mbalimbaliAnadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.
Hiyo ni kusema umezaliwa marekani ambako hakuna makabila ila ni umezaliwa bongo utakuwa na kabila fulani, hamna kabila linakosa mila na tamaduniUmekaririshwa.
Hata mimi mwanzo nilikua kama wewe ila nilikuja kubadilika humuhumu jf kwa kupitia makala, vitabu, maoni na tafakuri binafsi.
Hapo nikikwambia nipe hata kitabu kimoja kinachoelezea mila na tamaduni zako HUNA!!.
Hao vijana wafate muongozo gani? Ziko wapi hizo mila na tamaduni zenu, zinafundishwa wapi??
Hapo utawatenga watoto wasiojua asili za wazazi wao kwa sababu mbalimbali, kwahiyo hao mtawatambua kwa namna ipi??Hiyo ni kusema umezaliwa marekani ambako hakuna makabila ila ni umezaliwa bongo utakuwa na kabila fulani, hamna kabila linakosa mila na tamaduni
Nchi inaongozwa kwa mifumo ya kibepari kwaiyo haina kabila wala dini kwaiyo ukiuliza kwa utaratibu wa nchi lazima wakupe majibu hayo kuwa nchi haina muongozo wa kimila wala kidini
Ila mkuu una wazazi ambao wametoka miongoni mwa makabila na dini kwanini usiamue kufuata mila hizo?
Huyu jamaa ni mjinga hakuna analojua. Na mara nyingi mwanaume aliyekamilika hawezi ongelea mambo ya ushoga kila mara kwasababu ni mambo ya hovyo hata kutamka. Mtu kama mleta mada ni wale wanaojihusisha na ushoga ila hadharani wanapinga ili kujitengenezea kinga pale mambo yao yanapovuja.Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.
Mkuu ukweli ni kwamba nyie watu mnaojifanya kuongelea ushoga ndo nyuma ya pazia mnafanya ushoga na mambo mengine machafu. Mtu mwenye maadili hana sababu ya kuuaminisha umma kwamba ana maadili mazuri bali matendo yake yataongea zaidi. Wewe ni shoga ambaye una hofu ya mambo yako kujulikana hivyo unatengeneza kinga mapema uje utetewe. Mwanaume uliyekamilika unazihofia nini sketi fupi?Originally haukuwepo na kwa waliobainika kuingiliana kinyume wao kwa wao wengi walikuwa wakiuliwa ili kulinda utamaduni wa jamii husika
Izi mambo za haki za binadamu na human rights watch ndio siku izi wanakingiwa kifua na magharibi
Na kuna hoja ya sodoma na gomola swali langu hivi hiyo sodoma ilifanyika Afrika?
Mimi nilitegemea useme tuchukue yaliyo mazuri na mabaya tuwaachie wao.Mkuu Afrika hatuna mila moja inayotutambulisha kama bara lakini kwakuwa tuna makabila mengi ndani ya hayo makabila ndio zinapatikana mila na tamaduni mbalimbali
Mfano mila na tamaduni za wamasai ni tofauti na mila za wachaga na wapare hivyohivyo na makabila mengine
Sasa unaposema mchaga au mpare au msambaa hajui mila na desturi zao huo ni uongo
Ni muoga mkuu.Huyu jamaa ni mjinga hakuna analojua. Na mara nyingi mwanaume aliyekamilika hawezi ongelea mambo ya ushoga kila mara kwasababu ni mambo ya hovyo hata kutamka. Mtu kama mleta mada ni wale wanaojihusisha na ushoga ila hadharani wanapinga ili kujitengenezea kinga pale mambo yao yanapovuja.
Maadili gani hayo??Kumbe kutetea maadili ya jamii ni uoga