Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Point yangu ni kwamba argument zenu hazipo historically accurate; unaongelea USASA na KUVAA mimi nakuuliza kati ya Kuvaa na Kutokuvaa nini kilianza ?uovu na tabia mbaya zisipokemewa hatua za mwanzo kabisa hukomaa na kua haki ya watenda uovu na ubaya huo....🐒
ndicho kinachotokea nyakati hizi 🐒
kuvaa uchi ni haki tena inatetewa kwa nguvu zote na mafeministi 🐒
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Pili hao ambao wapo uchi; unakutana nao sokoni na kwenye nyumba za ibada au unawatafuta kwenye mitandao au nightclubs ?