SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mkuu Hata kama jamaa katukanwa ndio amfanyie hivi huyo binti? Hii kauli Yako haina tofauti na Ile kauli ya aliyekuwa RPC wa Dodoma kwamba binti aliyebakwa na kulawitiwa alikuwa anajiuza.
 
Huyu lazima afukuzwe kazi. hakuna cha kuwa provoked hapo. Wewe ni kiongozi , one does not expect such hooliganism behavior from a leader!
 
Kipindi hiki tutaona na kusikia mengi huko mitandaoni, na naona wameficha sauti ili tusijue tukio limetokea wap 😂

Anyway, sitak kuamini h imetokea Tz
Hahahaha hii siyo Tanzania bhana, tukifika hapo simu zote huwa zimezimwa, hata kama ni mfanyakazi alikuwa anachukua matukio, hawezi mchoma mshikaji wake.
 
itamcost heavily! Hata mahakamani binti atashinda! Then civil case alipwe fidia. Kesi nzuri sana hii
 
Ujinga wenu waTz ni pamoja na kutokujua adhabu ipi itolewe kwa kosa lipi, Hii long ass paragraph haina utetezi wowote wa maana, umeongea mihemko tu.

Wapi hapo kazini kwako uliambiwa mtu akifanya kosa fulani umpige? Work ethics ndio zinasema hivyo?

To begin with ushahidi uliopo kwenye video, hao wasahiliwa wote wanaonekana wapo desparate na kitu fulani, Ndio maana unaona wanaongea wote kwa mara moja, huyo binti ndiye ameenda extra mile sijui ametukana au ametoa neno gani, ndio huyo baba kumkunja hivyo.

Huyo baba angeweza kuita security wametoe huyo binti, mtihani wake uwekwe alama, na aambiwe kabisa hata akipewa kazi ameshaonesha dalili zote za kukosa adabu hivyo hafai kuwa mtumishi wa umma, Kitendo cha huyo baba kumpiga huyo binti tukienda kisheria huyo binti anashinda mchana kweupe, na hata haki isipotendeka basi huyo baba atapitisha rushwa kila sehemu au atasaidiwa na misogynist kama wewe.

Anyways, sijui hiyo video ninini au ni wapi ila mtu yeyote “sane” ataelewa mfanyakazi unatakiwa kuwa kwenye safe side katika maadili unless ni mzuri kwa rushwa au una watetezi.
 
Kitendo cha kupiga tu! Imekula kwako!
Kuna mtu ancommit first degree murder, lakini anaachwa huru, kwa kubainika alifanya hilo tukio bila kukusudia.

Kuna wengine wanalindwa na miongozo ya kazi zao, watu ni wakorofi maeneo yako ya utekelezaji wa kazi zako.
 
Kichwa kikubwa akili huna.

Labda nyie mnaofanya kazi huko vichochoroni, mimi kazini kwangu hata Boss wangu haruhusiwi kunigombeza, kama nimekosea anipe onyo la maandishi ambalo consequence yake ni zaidi ya hivyo vibao mnavyotishia navyo watu.

Nguvu nyingi akili kisoda ndio maana kazi haziendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…