SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Vijana wengi wanapitia mateso makali mno. Ajira, utegemezi, mahusiano nk. Serikali imewasusa.Mungu aweke mkono
 
Si ndio alitakiwa akashitaki? Hapo ameshitaki au amehukumu.

Punguza mihemko hapo nani yuko katika position ya kupoteza kisheria?

Usifikiri hapa kuna mtu nashindana nae au najaribu kutunishiana misuli na mtu.
 
Point yangu ni ile ile, ukimchokoza mtu kwa kauli chafu akikisha una nguvu za kudhibiti, kama nguvu hauna basi kotakachofuata usianze kulilia maana utakua umejitakia mwenyewe
Huyo mwanaume kwanza hajampiga bali wamepigana, ni aibu mwanaume kupigana na mwanamke
Nyinyi wanaume wenye mikono ya kirembo ndio huwa mnapenda kupigana na mademu
Wewe hebu weka tuone kiganja chako kama mkono wa mwanaume kweli
Sisi wenye mikono ya kazi hata kushkika mkono mwanamke anaona tunamchubua
 
kwani hii Tanzania?? mbona walifanya usaili kwa kompyuta?? hayo makaratasi ya nini??

na pia wakati wa kukusanya waga wanakusanya huku interviewee wamekaa na sio kusimama

na mashaka na hii clip n ya mchongo
 
Kuna kipindi katika maisha inahitajika subira ya Hali ya juu
Naona yanaanza kuonekana mapungufu ya USAILI. Hao wa usaili ni vituko. Kwa mfano watahiniwa wanaletwa na gari liliobeba mitihani na wameche,ewa kuripiti au watahiniwa wanaletwa na bus maalum na wamchelewa. Hapo takukuru wapo na haya yanaendelea.
 
kwani hii Tanzania?? mbona walifanya usaili kwa kompyuta?? hayo makaratasi ya nini??

na pia wakati wa kukusanya waga wanakusanya huku interviewee wamekaa na sio kusimama

na mashaka na hii clip n ya mchongo
Hapo wanakagua nyaraka kama vyeti
 
Brother, this is very lame. hilo ni jambo binafsi mtu kuzira kuoa na ni haki yake ilindwe. Ni sawa na mimi nizire luo lewa sababu naona wanawake wanapigwa na waume zao na serikali haifanyi kitu, faida ni zangu na hasara ni zangu. Hamna mtu nina mkomoa kwa kuamua kutokuolewa.

Hakuna mtu aliyesema huyo mwanamke ni malaika, Mnakuwa sensitive for no reason. Tunajaribu kuwa reasonable, mnachanganya maadili ya kifamilia/kijamii na yale ya kazi. Kwenye uwanja wa kazi huyo baba ana makosa na tukienda kisheria lazima kimrambe.

This is not about men vs women. It’s about mtumishi na client .
 
Afu amekakaba shingo🙄

Amekakandamizia kichwa kwenye meza🥺
Whatever the case haikutakiwa kuwa hivyo.

Lakini na nyie wanawake ifike wakati mjifanyie tafakari maneno mnayotamka kwa watu wengine aidha mpenzi, mume au swahiba kazini kuna muda mtu anashindwa kuhimili yale maneno mwisho yanatokea ya kutokea. Anakuja kulaumiwa na tutamlaumu kweli mtendaji wa tukio kama huyo jamaa hapo. Wote tujifunze kulinda midomo yetu sio kulopoka lopoka tu.
 
Pia kwenye uwanja wa kazi huyo binti hayuko sawa.
Hapa mimi nalenga kuzuia mtu kupata VVU, wewe unalenga kumtibu mwenye UKIMWI.
 
Anayetafuta kazi pekee ndiye anapaswa kuwa desperate?
Tunampa hiyo benefit! Eleweni hawa watoto wako katika hali gani.

Baba mzima, mtumishi wa umma, ana mshahara, ana marupurupu anashindwa kumanage stress ya kamjinga kamoja kalichotukana?

No wonder tuna maendeleo ya namna hii kama watumishi ndio hawa 🗑️🚮
 
Tayari umeonyesha bias. Kitu gani kimekufanya umuite huyo dada "hako ka dada"?
Je unajua huyu mwanaume amemwambia nini huyo dada?

Kitendo alichofanya huyo mwanaume si cha kiungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…