mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀
Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
Hebu soma hapa maana nimedhani nashangaa peke yangu Kuna watu wana hela jamani!!Kuna kipindi huwa najiuliza,hivi wengine wanapataje pesa?
Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...Kuna kipindi huwa najiuliza,hivi wengine wanapataje pesa?
Hio starehe na burudani wanaipata bure?Watu wanapenda starehe na burudan si kwamba wana pesa sana hapana wanatafuta furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
ajabu sana aisee, Mungu Fundi Mno!Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
Unabaki tu kujiuliza hivi mimi nakosea wapi?Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
Unabaki tu kujiuliza hivi mimi nakosea wapi?
Kanda Bongoman alipiga Show KILIMANJARO HOTEL kwa 100k, way back 1990s huko! Na ilikuwa hv hv. Tuliingia wachache sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukilalama tunaonekana tunajinyongefy.Mbaya zaidi umempita umri!..
Tukilalama tunaonekana tunajinyongefy.
Kuna ndugu yangu ananiambiaga niache kuwaza mambo makubwa kuzidi uwezo wangu. Maana nawaambiaga katika maisha bado sikumbuki kama nimewahi pata pesa.
Wewe miaka hyo ulikua unanyonya alafu unataka kuturusha roho hapa...labda ulipata stry kutoka kwa dingi ako!
😠😠😠😠