Watu wana hela sana!!!

Watu wana hela sana!!!

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,027
Reaction score
1,869
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀

Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
 
Ndugu yangu, we sema tu "mimi sina hela." Mambo ya kusema "hatuna hela." Kana kwamba unajua mifuko ya watu ni upunguani. Hata maisha yaweje, hatuwezi wote tukawa na pesa na wote tukawa hatuna pesa, kila situation kuna mtu atafaidika nayo na mwingine atakuwa mhanga.

Imagine show ya laki kwa kichwa, tiketi zote zinaisha (SOLD OUT). Ila ikija kwenye mambo mengine, tena ukute ya msingi zaidi, huyohuyo aliyetoa hizo pesa atalalama apunguziwe maana hali kwa sasa ni ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi huwa najiuliza,hivi wengine wanapataje pesa?
Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
 
Hata hivyo watu wanamapenzi na huyu koffi...lol..sijatoa laki kisa kofi...yaani hata 200k ntatafuta akija Patroranking jamani..awwww...mavibe kama yote!
 
Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
ajabu sana aisee, Mungu Fundi Mno!
 
Unabaki tu kujiuliza hivi mimi nakosea wapi?
Ukitafakari sana unapata sonona bure🤣
 
Tukilalama tunaonekana tunajinyongefy.
Kuna ndugu yangu ananiambiaga niache kuwaza mambo makubwa kuzidi uwezo wangu. Maana nawaambiaga katika maisha bado sikumbuki kama nimewahi pata pesa.

Nope...bora udream big jombaa! Ukidream vitu vidogo utaishi chini zaidi!...!
 
Usilalamike kijana kwa kukosa,njia mbadala ipo kwenye tv,Dstv wataonyesha live
 
Na bado watu wanalizimisha ticket zichapishwe wauziwe kwa 200k
 
Back
Top Bottom