Napata sana maswali mawili ya msingi kwanini Suleiman aliomba hekima na si utajiri?
Lakini kwanini pamoja na kuwa na wale wanawake wote na masuria 300 lakini mwishoni akiona ni batili
1.Mengi aliachana mke wake kisa ilikuwa usaliti inasemekana mke wake alikuwa akitoka na Daktari wao wa nyumbani
2.Billgate aliachana na mke wake kitu kitu kikubwa yule mwanamama alichokisema ni umbali wao,muda wote wapo serious kusaka pesa,
3.Gibson tyrese na mkewe alidai alivunja ndoa sababu hakuwa na Hisia na mumewe bali alifata umaarufu kwa tyrese
4.Asamoah gyan na mkewe
5.Fifty cent aliachwa na mkewe kisa mwana ana nguvu sana kitandani
6.Diamond platnumz na zari. Zari alidiriki kutembea na Peter wa P square na sio kwamba alifata pesa kwa jamaa na bado katoka na gym trainer wake wa nyumbani tena ndani kwa diamond
7.Sarah wa harmonize alitoka na mmasai mlinzi wao🤣Dah and sara had everthing, also harmonize had money and fame
Nadhani wadau tu tukubaliane pesa haiwezi kuleta amani kwenye mapenzi /mahusiano