Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Uwe unawawahi wewe kuwaamkia.
 
Tatizo mvinyo.
 
Sina doa usoni kaka, ngozi yangu ipo vyema kabisa wala sijawahi tumia dawa yoyote ya ngozi
Basi utakuwa na cheo kikubwa kazini kwako au una maendeleo makubwa kiuchumi maana watu wengi kua na maendeleo makubwa ni sawa na ukubwa wa umri.Ukiwa mwanaume utaitwa mzee hata kama ni kijana,ukiwa mwanamke utaitwa mama hata kama ni dada simply because umeolewa na mtu mwenye pesa au ni boss kazini kwako.
 
Kuna mbabu anaishi ndani yako, kumtoa ni kazi sana. Je ulirithishwa jina la babu? Au mzee yeyote wa ukoo? Pole mwe
 
Hayo uliyosema ni kweli, lakni kuhusu uboss na cheo huko bado sijafika. Naishi kawaida tu uswazi.
 
Basi kuna chanzo kingine kama aina ya dawa kuto kunywa maji ya kutosha kukosa lishe na kutolala muda wa kutosha
Lishe na kutolala muda wa kutosha hapo nakubali hapako sawa, ntajitahidi kushuhulika vyema na hilo. Nashukuru ushauri mzuri huu πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…