Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #221
LabdaDALILI ZA UZEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LabdaDALILI ZA UZEE
Uwe unawawahi wewe kuwaamkia.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Kioo hakidanganyi Bigykama umbo la mwili sina umbo kubwa kivil
Kioo hakidanganyi Bigy
Tatizo mvinyo.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
25yo 58kg? Huna mwili mkubwa kivile?Nina kilo 58
Dabliyu tuuHata mimi nahisi kuna sehemu tulikutana nikakupa shikamoo
Basi utakuwa na cheo kikubwa kazini kwako au una maendeleo makubwa kiuchumi maana watu wengi kua na maendeleo makubwa ni sawa na ukubwa wa umri.Ukiwa mwanaume utaitwa mzee hata kama ni kijana,ukiwa mwanamke utaitwa mama hata kama ni dada simply because umeolewa na mtu mwenye pesa au ni boss kazini kwako.Sina doa usoni kaka, ngozi yangu ipo vyema kabisa wala sijawahi tumia dawa yoyote ya ngozi
Kuna mbabu anaishi ndani yako, kumtoa ni kazi sana. Je ulirithishwa jina la babu? Au mzee yeyote wa ukoo? Pole mweNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingi
Hayo uliyosema ni kweli, lakni kuhusu uboss na cheo huko bado sijafika. Naishi kawaida tu uswazi.Basi utakuwa na cheo kikubwa kazini kwako au una maendeleo makubwa kiuchumi maana watu wengi kua na maendeleo makubwa ni sawa na ukubwa wa umri.Ukiwa mwanaume utaitwa mzee hata kama ni kijana,ukiwa mwanamke utaitwa mama hata kama ni dada simply because umeolewa na mtu mwenye pesa au ni boss kazini kwako.
Jina ndy ni la babu. Lakni sidhani kama naweza kuwa na wazee ndani yangu, hilo silielewi na sikubali pia.Kuna mbabu anaishi ndani yako, kumtoa ni kazi sana. Je ulirithishwa jina la babu? Au mzee yeyote wa ukoo? Pole mwe
Ukomavu wa mwili ni kweli kabisa, nimekomaa yani sijalegea kama mboga saba.25yo 58kg? Huna mwili mkubwa kivile?
Maana yake mfupi. Sasa hapo ishu itakuwa sura au ukomavu wa mwili kiujumla
Basi kuna chanzo kingine kama aina ya dawa kuto kunywa maji ya kutosha kukosa lishe na kutolala muda wa kutoshaHapana, sijawahi kunywa kabisa
Lishe na kutolala muda wa kutosha hapo nakubali hapako sawa, ntajitahidi kushuhulika vyema na hilo. Nashukuru ushauri mzuri huu 🙏🙏Basi kuna chanzo kingine kama aina ya dawa kuto kunywa maji ya kutosha kukosa lishe na kutolala muda wa kutosha
Pombe sijawahi tumia Mr Rockefeller.Mtoto mdogo unabugia mapombe makali lazima uzeeke
Pombe sijawahi tumia Mr Rockefeller.
Kaka unataka niwe bondia 😂😂Nenda gym kula powder fanya mazoezi ujenge mwili mkubwa 😃😃😃😃😃