kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 144
- 292
πππHaya mambo ya kiroho zaidi mkuu, mpaka uwe deep spiritually. jiulize nimejuaje khs kuwa na jina la babu. Anyway ifanyie kazi mapema maana huko mbele ndio itakusumbua zaidi. Tumevipitia so tunavijuaJina ndy ni la babu. Lakni sidhani kama naweza kuwa na wazee ndani yangu, hilo silielewi na sikubali pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Mimi sijachoka kimwili nipo sawa tu, huwenda labda zipo sababu nyingineShida zinazeesha nyie,kuna siku nilienda benk kuna taarifa najaza jamaa naona anaandika mwaka wa kuzaliwa 91,alivochoka sasa utasema wa 80
Ni sawa, kwasababu bdo najitafutaUgumu wa maisha unaweza kua sababu
Shida inaanzaga kwenye komwe na uwalazaNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Akiweka usisahau kunistua lo π
Picha siwezi kuweka
Kachaso ndyo nini mkuu?Punguza kunywa kachaso mkuu
Kaka uwalaza sinaShida inaanzaga kwenye komwe na uwalaza
Au una mawazo sana umedhofisha nuru ya uso wakoNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Unaa mviNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Hii tafiti imefuata kanuni za kiutafiti kisayansiKijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Mithali 17:22MIthali 17:22
Somo zito sana ukilisoma loteMIthali 17:22