Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Jina ndy ni la babu. Lakni sidhani kama naweza kuwa na wazee ndani yangu, hilo silielewi na sikubali pia.
😆😆😆Haya mambo ya kiroho zaidi mkuu, mpaka uwe deep spiritually. jiulize nimejuaje khs kuwa na jina la babu. Anyway ifanyie kazi mapema maana huko mbele ndio itakusumbua zaidi. Tumevipitia so tunavijua
 
Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.

COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.

Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.

Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.

COCA COLA / COCA CORA....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida zinazeesha nyie,kuna siku nilienda benk kuna taarifa najaza jamaa naona anaandika mwaka wa kuzaliwa 91,alivochoka sasa utasema wa 80
Mimi sijachoka kimwili nipo sawa tu, huwenda labda zipo sababu nyingine
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Shida inaanzaga kwenye komwe na uwalaza
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Au una mawazo sana umedhofisha nuru ya uso wako
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Unaa mvi
 
Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.

COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.

Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.

Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.

COCA COLA / COCA CORA....
Hii tafiti imefuata kanuni za kiutafiti kisayansi
 
Back
Top Bottom