kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 144
- 292
😆😆😆Haya mambo ya kiroho zaidi mkuu, mpaka uwe deep spiritually. jiulize nimejuaje khs kuwa na jina la babu. Anyway ifanyie kazi mapema maana huko mbele ndio itakusumbua zaidi. Tumevipitia so tunavijuaJina ndy ni la babu. Lakni sidhani kama naweza kuwa na wazee ndani yangu, hilo silielewi na sikubali pia.