Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Tatizo (kama ni tatizo) pia ninalo lakini nahisi ni haiba yangu (aura) ya kichifu fulani hivi 😁
 
Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwa
🙏🙏
 
Double kick, cuca , kiwingu sijui na smart gin wenyewe siku hz wanamuita jini msafi mixer fegi kaaaazi iendelee
 
Unafanys kazi gani mkuu
 
Kinachofanya uchanganyikiwe ni nini ?

Mimi nazani umewazidi mindset tu haifanani na ya kwao. Rika la unaokuwa nao muda mwingi huenda sio age yako.
 
Duuuh kweli tumetofautiana,sisi wengine wenye miili midogo ukitoa kitambulisho wanasema umechukua kitambulisho cha kaka yako....
 
Kinachofanya uchanganyikiwe ni nini ?

Mimi nazani umewazidi mindset tu haifanani na ya kwao. Rika la unaokuwa nao muda mwingi huenda sio age yako.
Kweli muda mwingi niko na mafaza, pia rika langu nina marafiki wachache sana
 
Duuuh kweli tumetofautiana,sisi wengine wenye miili midogo ukitoa kitambulisho wanasema umechukua kitambulisho cha kaka yako....
Kweli mambo ni tofauti, au labda mkuu una sura nyepesi inayo sababisha waone wewe bado ni mdogo
 
Kweli mambo ni tofauti, au labda mkuu una sura nyepesi inayo sababisha waone wewe bado ni mdogo
Ni kweli,pia nina sista tuliyefuatana kuzaliwa nae watu hawaamini wakimuona,ndugu wengine ndio wana miili mikubwa,tuliokuwa na miili midogo ni sisi wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…