cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Achana nae huyo, ana stress za maisha, mpuuzee.Sikujua na bado sina uhakika na hilo, labda mwenyewe athibitishe kwamba nimekosea kutambua jinsia yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo, ana stress za maisha, mpuuzee.Sikujua na bado sina uhakika na hilo, labda mwenyewe athibitishe kwamba nimekosea kutambua jinsia yake.
Hapana kwakweli inatosha tu😂Sijaona rudiaa.
Tatizo (kama ni tatizo) pia ninalo lakini nahisi ni haiba yangu (aura) ya kichifu fulani hivi 😁Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] sijaona em rudia bhana, mmmhHapana kwakweli inatosha tu[emoji23]
Basi kaka itakuwa unatoka ukoo wa kichifu kabisaTatizo (kama ni tatizo) pia ninalo lakini nahisi ni haiba yangu (aura) ya kichifu fulani hivi 😁
Kuweka picha humu ni kujichoresha tu[emoji23][emoji23][emoji23] sijaona em rudia bhana, mmmh
Unakumbuka ile link niliyokutumia ya app ya zamani?[emoji23][emoji23][emoji23] sijaona em rudia bhana, mmmh
Usahihi upi ulio uona mkuu😂😂😂 Ni sahihi
🙏🙏Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwa
Hivyo Havinihusu, labda kama kuna kitu kingine.Gubu,Pombe mwitu na roho mbaya vinakuhusu.
Hakuna nianacho tumia katika hivyo ulivyo vitajaDouble kick, cuca , kiwingu sijui na smart gin wenyewe siku hz wanamuita jini msafi mixer fegi kaaaazi iendelee
Unafanys kazi gani mkuuNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Mkuu napambana tuUnafanys kazi gani mkuu
Kinachofanya uchanganyikiwe ni nini ?Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Kweli muda mwingi niko na mafaza, pia rika langu nina marafiki wachache sanaKinachofanya uchanganyikiwe ni nini ?
Mimi nazani umewazidi mindset tu haifanani na ya kwao. Rika la unaokuwa nao muda mwingi huenda sio age yako.
Kweli mambo ni tofauti, au labda mkuu una sura nyepesi inayo sababisha waone wewe bado ni mdogoDuuuh kweli tumetofautiana,sisi wengine wenye miili midogo ukitoa kitambulisho wanasema umechukua kitambulisho cha kaka yako....
Ni kweli,pia nina sista tuliyefuatana kuzaliwa nae watu hawaamini wakimuona,ndugu wengine ndio wana miili mikubwa,tuliokuwa na miili midogo ni sisi wawiliKweli mambo ni tofauti, au labda mkuu una sura nyepesi inayo sababisha waone wewe bado ni mdogo