Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Ndo maana nikakuambia tafuta hela Kwa njia yoyote. Narudia Tena, TAFUTA HELA KWA NJIA YOYOTE
Hiyo kauli ya "tafuta hela" imekuwa kama fashion sasa, kila mtu anaitumia kwa style yake.
 
Ukubwa ukija haukimbiwi so wakikuona mkubwa ni ishara ya heshima acha utoto
 
, usipende kuongea mambo ya maana Kila saa, Ndo maana wenzio wanakuona kidingi..jitahidi kuongea pumba na kusikiliza singeli wakati wote utakauja kunishukuru
 
, usipende kuongea mambo ya maana Kila saa, Ndo maana wenzio wanakuona kidingi..jitahidi kuongea pumba na kusikiliza singeli wakati wote utakauja kunishukuru
Nimekuelewa mkuu, vise versa is true
 
Kuna wale wa 97 ila watu wanajua nimezaliwa 2004 na sio mfupi wala mwembamba sana😂😂ila tu najitahidi kula vzr
 
Sijakuelewa mkuu, kwamba natumia mwili wangu vbya au
Kwani gari ukiiendesha vibaya, unaikimbiza barabara yenye mashimo, huipeleki service, unajaza ABIRIA kupita kiasi, huioshi, baada ya muda mfupi inakuwaje?
 
Kwani gari ukiiendesha vibaya, unaikimbiza barabara yenye mashimo, huipeleki service, unajaza ABIRIA kupita kiasi, huioshi, baada ya muda mfupi inakuwaje?
Mkuu nimekuelewa lakini haina maana kwamba natumia mwili wangu vibaya, huenda labda kuna sababu nyinginezo.
 
Kuna wale wa 97 ila watu wanajua nimezaliwa 2004 na sio mfupi wala mwembamba sana😂😂ila tu najitahidi kula vzr
Hao style yao ya maisha ni sababu mojawapo, hawana misukosuko mingi hasa katika matumizi ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…