Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #421
Am still 22yrs na hapa nilipo sio pabaya, bado safari ni ndefu na mapambano ya maisha yanaendelea.Huna pesa that's why mpk sura Yako mwenyewe unakukataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am still 22yrs na hapa nilipo sio pabaya, bado safari ni ndefu na mapambano ya maisha yanaendelea.Huna pesa that's why mpk sura Yako mwenyewe unakukataa
Ndo maana nikakuambia tafuta hela Kwa njia yoyote. Narudia Tena, TAFUTA HELA KWA NJIA YOYOTEAm still 22yrs na hapa nilipo sio pabaya, bado safari ni ndefu na mapambano ya maisha yanaendelea.
Hiyo kauli ya "tafuta hela" imekuwa kama fashion sasa, kila mtu anaitumia kwa style yake.Ndo maana nikakuambia tafuta hela Kwa njia yoyote. Narudia Tena, TAFUTA HELA KWA NJIA YOYOTE
Yes! Pesa ndo Kila k2Hiyo kauli ya "tafuta hela" imekuwa kama fashion sasa, kila mtu anaitumia kwa style yake.
Ukubwa ukija haukimbiwi so wakikuona mkubwa ni ishara ya heshima acha utotoNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Sahihi na nimekuelewa vyema mkuu, heshima ndyo msingi wa yote.Ukubwa ukija haukimbiwi so wakikuona mkubwa ni ishara ya heshima acha utoto
Sawa tajiriYes! Pesa ndo Kila k2
Nimekuelewa mkuu, vise versa is true, usipende kuongea mambo ya maana Kila saa, Ndo maana wenzio wanakuona kidingi..jitahidi kuongea pumba na kusikiliza singeli wakati wote utakauja kunishukuru
Sijakuelewa mkuu, kwamba natumia mwili wangu vbya auMatumizi mabaya ya mwili.
Hili ndilo jibuacha kupiga punyeto
Sifanyi huo mchezoHili ndilo jibu
Kuna wale wa 97 ila watu wanajua nimezaliwa 2004 na sio mfupi wala mwembamba sana😂😂ila tu najitahidi kula vzrNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
#BM
Kwani gari ukiiendesha vibaya, unaikimbiza barabara yenye mashimo, huipeleki service, unajaza ABIRIA kupita kiasi, huioshi, baada ya muda mfupi inakuwaje?Sijakuelewa mkuu, kwamba natumia mwili wangu vbya au
Mkuu nimekuelewa lakini haina maana kwamba natumia mwili wangu vibaya, huenda labda kuna sababu nyinginezo.Kwani gari ukiiendesha vibaya, unaikimbiza barabara yenye mashimo, huipeleki service, unajaza ABIRIA kupita kiasi, huioshi, baada ya muda mfupi inakuwaje?
Hao style yao ya maisha ni sababu mojawapo, hawana misukosuko mingi hasa katika matumizi ya mwiliKuna wale wa 97 ila watu wanajua nimezaliwa 2004 na sio mfupi wala mwembamba sana😂😂ila tu najitahidi kula vzr