Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Yani wewe bhana tuongea Coca unaleta tena mambo ya kingereza anyway...alafu sio COCA CORA ni "COCA COLA"Kiingereza hakisaidii.
COCA CORA inazeesha mbaya sana, unakuwa kijana mwenye uso wa kikongwe.
Na zaidi inavuruga BLOOD PH, damu inajaa matakataka matupu.
😂😂😂Wanasayansi na tafiti zao nyingi wanaafiki. Ila huyu kijana mzee, sidhani kama ana tatizo la Coca Cora. Amebarikiwa tyu. anapaswa ana Run tell dat
Inabidi ulitizame usije ukawa unavaaga ki papaaa au mayenuMavazi yangu ya kawaida ila sivai kibishoo, navaa official muda mwingi. Huenda yaweza kuwa sababu pia.
COCA CORA ni mbaya sanaYani wewe bhana tuongea Coca unaleta tena mambo ya kingereza anyway...alafu sio COCA CORA ni "COCA COLA"
Hiyo COCA CORA yako unayosema wewe ndio itakua inazeesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye bangi unanionea kaka, situmii na sijawahi kutumia kbsaAcha bangi
Haya majani ya Arusha ni ya ajabu sana
🔹Mtumiaji wa majani haya sura hukongoroka na kukomaa Sana na hata kama ni kijana mdogo huonekana kama ni Mzee mstaafu( mfano angalia vibaka wa mjini)
🔹 Mbaya zaidi Mtumiaji wa majani hayo haramu huendelea kujiona kijana kwa Mavazi, kutembea, na hata kuongea hata akifikisha miaka 80 yeye kuendelea kuwa kwenye vijiwe vya watoto wa miaka 20 huku Kila kitu akifanya kitoto kitoto
ACHA BHANGI
Mi na miaka 35+ ila kuna watu wenye miaka 49, 50 nakuendelea wananipa shkamoo afu fresh tu. Tena wanaongezea na mzee kwa mbele yani shkamoo mzee. Mimi kwa mbwembwe na amani huku moyo ukiwa mweupe naitikia maarahaba kijana wangu hujambo. 😂Shekhe shkamoo za namna hiyo siyo sawa, huenda ukawa umenizidi parefu kwenye umri.
Caffeine inazeesha ukiachilia mbali athari inayoleta kwa moyo wako. Pia zingatia unavyojiweka hasa mavazi na unadhifu.Ntajitahidi kaka, pia nitafanya uchunguzi zaidi kuhusu Caffeine.
Nimekuelewa vizuri sana, naamini zipo njia nzuri za kusaidia kupambana na stress. Unaweza kunisaidia japo chache tu?
Tatizo bado unapenda vitoto ndio maana hupendi kuonekana mkubwa. Ukubwa ni raha sana ukiwa na akili za kikubwa hata kama unaumri mdogo, ila ukiwa na akili za kitoto kamwe huwezi kufurahia ukubwa hata kama unaumri mkubwa.😭😭😭 Kwenye bangi unanionea kaka, situmii na sijawahi kutumia kbsa
Ni kweli kabisa usemalo, japo sidhani kama muonekano ni tatizo labda lifestyle yangu tu maana kwenye hilo nipo tofauti sana.Caffeine inazeesha ukiachilia mbali athari inayoleta kwa moyo wako. Pia zingatia unavyojiweka hasa mavazi na unadhifu.
Kuna aina za nguo mtu ukivaa hata kama kijana utaonekana mzee tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubali mkuuCOCA CORA ni mbaya sana
Hapana nipo fresh tu, tena watoto wa 2000 huwa wanajileta sana ila sasa nikifikira maokoto ndy mzuka unakata.
Shida hunywi wala huuzi madafu kama mimi muuza .adafu wa Ikulu.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
PichaNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Ndio zipo mkuu , Ila ingekuwa vizuri ungesema mtiririko wako mzima wa maisha upoje.
Mfano:
Mahusiano
Afya ya mwil na akili
Kazi
Uchumi
Ungesema sehemu inayokupa stress ni IPI ili tuweze kuchagua njia bora za kukupatia ili kuwa sa
Hapo nimekuelewa kaka, umenifanya nitafakari sana. Kuanzia sasa itabidi niishi kwa kufurahia ukubwa hatakama watu ndy wananipa huo ukubwa.Tatizo bado unapenda vitoto ndio maana hupendi kuonekana mkubwa. Ukubwa ni raha sana ukiwa na akili za kikubwa hata kama unaumri mdogo, ila ukiwa na akili za kitoto kamwe huwezi kufurahia ukubwa hata kama unaumri mkubwa.
Hapo nimekuelewa kaka, umenifanya nitafakari sana. Kuanzia sasa itabidi niishi kwa kufurahia ukubwa hatakama watu ndy wananipa huo ukubwa.
Tuwekeze picha ya kufanana na weweMavazi yangu ya kawaida ila sivai kibishoo, navaa official muda mwingi. Huenda yaweza kuwa sababu pia.
Kuchagua sehemu moja ni ngumu maana mfumo wa maisha ya sasa mambo mengi yanaingiliana. Lakni ntajitahidi na kujifunza zaidi kuhusu stress management. Nashukuru sana kwa ushauri na maelezo yako mkuu 🙏Ndio zipo mkuu , Ila ingekuwa vizuri ungesema mtiririko wako mzima wa maisha upoje.
Mfano:
Mahusiano
Afya ya mwil na akili
Kazi
Uchumi
Ungesema sehemu inayokupa stress ni IPI ili tuweze kuchagua njia bora za kukupatia ili kuwa sawa
Kuchagua sehemu moja ni ngumu maana mfumo wa maisha ya sasa mambo mengi yanaingiliana. Lakni ntajitahidi na kujifunza zaidi kuhusu stress management. Nashukuru sana kwa ushauri na maelezo yako mkuu 🙏