Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Punguza "kula chumvi"
 
Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....Pombe nagonga vzr Nakula Vizuri ..Sijisifii ila kazini tu kuna madem kibao wananifukuzia.
Jidanganye na hiyo mikemikali, soda, pombe, sigara, stress, vyakula vya kisasa, mazoezi makali na nyama nyekundu ni bomu linalokulipukia kila siku kukuzeesha kabla ya muda wako.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Weka picha tuone ulivyopigwa na maisha! Hata akina Joti na Mpoki walikuwa wazee lakini walivyopata hela wakawa vijana!
Sijasema nimepigiwa na maisha, ila ningependa kufahamu sababu ni ipi kuonekana mkubwa. Kama una sababu unaifahamu unaweza kueleza hapa.
 
Iyo hali ndo Niko nayo roughly watu wanadhini Nina 45+ kumbe 33 kazi ngumu zinakomaza sana
mi Nina 36 huwezi amini popote napoenda utasikia father twende hao ni boda na makonda nikisema nitafte dogo dogo utasikia wee mzee si una familia yako[emoji38][emoji38][emoji38] nilichojifunza binafsi katika maisha nimepitia misoto sana Yani sijawahi kupata uraini kwahiyo hata Nuru kwenye uso wangu haipo ishapotea ...
 
Pesa sio sababu, labda kwakuwa napenda kukaa na watu wazima sana na pia naongea kwa heshima na wakubwa kwa wadogo.
kama ni mkristo usije kuwa umesoma sana shule za seminary...mana kule unakuwa kama padre mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…