Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Sawa kakaTupitie comment Kaka huenda tukapata jibu sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kakaTupitie comment Kaka huenda tukapata jibu sahihi.
Basi lifestyle yako ni yakizee.Situmii pombe kaka.
Hapana mkuuDah, kwaiyo unamaanisha napaka Mkorogo au sio?
Jua la dar linatakatisha atuambie vizuri alipoUpo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
Huwenda ikawa kweli, maana sipendi kujifananisha na lifestyle ya vijana wa hovyo.Basi lifestyle yako ni yakizee.
Sasa tatz n nn hapoHapana mkuu
Nipo dar, hata muda huu nipo road na jua linanipiga balaaJua la dar linatakatisha atuambie vizuri alipo
Punguza "kula chumvi"Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
🤣🤣🤣 Kwahiyo dogo unataka kusemaje kuhusu watu wa Dar!!?Upo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
Kwamba nianze kula vyakula kama watu wenye pressure?Punguza "kula chumvi"
Jidanganye na hiyo mikemikali, soda, pombe, sigara, stress, vyakula vya kisasa, mazoezi makali na nyama nyekundu ni bomu linalokulipukia kila siku kukuzeesha kabla ya muda wako.Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....Pombe nagonga vzr Nakula Vizuri ..Sijisifii ila kazini tu kuna madem kibao wananifukuzia.
Nimecheka 🤣Jua la dar linatakatisha atuambie vizuri alipo
Weka picha tuone ulivyopigwa na maisha! Hata akina Joti na Mpoki walikuwa wazee lakini walivyopata hela wakawa vijana!Nipo dar, hata muda huu nipo road na jua linanipiga balaa
Pesa hanaUpo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
Iringa mbona kutamu tu?Nimecheka 🤣
Atakuwa Iringa basi
Baridi kali
Sijasema nimepigiwa na maisha, ila ningependa kufahamu sababu ni ipi kuonekana mkubwa. Kama una sababu unaifahamu unaweza kueleza hapa.Weka picha tuone ulivyopigwa na maisha! Hata akina Joti na Mpoki walikuwa wazee lakini walivyopata hela wakawa vijana!
Kweli pesa sina ila sijakosa kula wala pakulalaPesa hana
mi Nina 36 huwezi amini popote napoenda utasikia father twende hao ni boda na makonda nikisema nitafte dogo dogo utasikia wee mzee si una familia yako[emoji38][emoji38][emoji38] nilichojifunza binafsi katika maisha nimepitia misoto sana Yani sijawahi kupata uraini kwahiyo hata Nuru kwenye uso wangu haipo ishapotea ...Iyo hali ndo Niko nayo roughly watu wanadhini Nina 45+ kumbe 33 kazi ngumu zinakomaza sana
kama ni mkristo usije kuwa umesoma sana shule za seminary...mana kule unakuwa kama padre mda wotePesa sio sababu, labda kwakuwa napenda kukaa na watu wazima sana na pia naongea kwa heshima na wakubwa kwa wadogo.