Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Nina 45 lakini sipewi shikamoo na watoto wa 2000,nina binti ana miaka 15 na mchepuko wangu una miaka 18 na haunipi shikamoo
Sasa mimi mwenyewe ni mtoto wa 2000 ila wenzangu wa 2000 wananiita bro tena kwa heshima kubwa....
Hapo ndipo nabaki mdomo wazi
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Pole sana
 
Pombe hizo
 
Back
Top Bottom