Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Umezeeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
22yrs nimezeeka?Umezeeka
Wawili tuUmesex na warembo wengi HAHAHAHA
Ni watu wa hvyohvyo naona wanazeeka mapemaUmesex na warembo wengi HAHAHAHA
Unashangaa wakati mwili unakuumbua22yrs nimezeeka?
Ulishawahi kuuona mwili wangu?Unashangaa wakati mwili unakuumbua
Sasa mimi mwenyewe ni mtoto wa 2000 ila wenzangu wa 2000 wananiita bro tena kwa heshima kubwa....Nina 45 lakini sipewi shikamoo na watoto wa 2000,nina binti ana miaka 15 na mchepuko wangu una miaka 18 na haunipi shikamoo
Babu kama babuUlishawahi kuuona mwili wangu?
Pole sanaNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Au sioBabu kama babu
YeahAu sio
Sawa kakaYeah
Afadhali wewe ushajua sababu ni pesa, mimi bdo sielewiHii hali hata mimi inanipata nahisi sababu ya hivi vipesa nilivyonavyo na mvi hata 30 sijafikisha
Poa babuSawa kaka
Pombe hizoNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
SitumiiPombe hizo