Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Labda unapenda kuachia ndevu.

Kuna wengine wakifuga ndevu wanaonekana ni wakubwa kiumri. Ila wakinyoa ndevu sura zao zinakuja timilifu kuwa ni bado watoto.

Kwa mfano mimi: Nikifuga ndevu naonekana mtu mzima sana. Ila nikinyoa naonekana bwana mdogo.
 
Au una mawazo sana umedhofisha nuru ya uso wako
Mawazo nadhani ni jambo la kawaida, japo yakizidi ndyo shida
Labda unapenda kuachia ndevu.

Kuna wengine wakifuga ndevu wanaonekana ni wakubwa kiumri. Ila wakinyoa ndevu sura zao zinakuja timilifu kuwa ni bado watoto.

Kwa mfano mimi: Nikifuga ndevu naonekana mtu mzima sana. Ila nikinyoa naonekana bwana mdogo.
Ni kweli nafuga ndevu nyingi tu, yaweza kuwa sababu pia
 
Back
Top Bottom