DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Basi mavazi na pigo zako ni za kizeeKaka uwalaza sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mavazi na pigo zako ni za kizeeKaka uwalaza sina
Umri ushaendaNataka niwe kigoli.
Mawazo nadhani ni jambo la kawaida, japo yakizidi ndyo shidaAu una mawazo sana umedhofisha nuru ya uso wako
Ni kweli nafuga ndevu nyingi tu, yaweza kuwa sababu piaLabda unapenda kuachia ndevu.
Kuna wengine wakifuga ndevu wanaonekana ni wakubwa kiumri. Ila wakinyoa ndevu sura zao zinakuja timilifu kuwa ni bado watoto.
Kwa mfano mimi: Nikifuga ndevu naonekana mtu mzima sana. Ila nikinyoa naonekana bwana mdogo.
Hadi sasa Sili vzr, nadhani napaswa kuboresha mlo.Kuna kipindi ulikuwa huli vizuri.
Mavazi ya kawaida tu. Ila pigo nyingine ni kweli zinafanana na zakizee maana ni heri hivyo kuliko kufanana na vijana wa hovyo.Basi mavazi na pigo zako ni za kizee
Zipunguze ziache za brush au za kitana kidogo. Na kama unafuga na nywele zipunguze nazo, utarudi ujanani.Mawazo nadhani ni jambo la kawaida, japo yakizidi ndyo shida
Ni kweli nafuga ndevu nyingi tu, yaweza kuwa sababu pia
Ushauri mzuri huu, hata bimkubwa huwa analalama sana nipunguze izi nywele.... Sema itabidi nizipunguze kweliZipunguze ziache za brush au za kitana kidogo. Na kama unafuga na nywele zipunguze nazo, utarudi ujanani.
Mmvi sina labda nywele ndefuUnaa mvi
Kula anti aging foods.Hadi sasa Sili vzr, nadhani napaswa kuboresha mlo.
Basi shikamooMavazi ya kawaida tu. Ila pigo nyingine ni kweli zinafanana na zakizee maana ni heri hivyo kuliko kufanana na vijana wa hovyo.
Sawa mkuu nitafanikisha hiloKula anti aging foods.
Nafaka na mbogamboga na matunda.
Dah, sawa.Basi shikamoo
Google kachasu mkuuKachaso ndyo nini mkuu?
Kaka mbona ni pombe, mimi pombe situmii kabisa kaka.Google kachasu mkuu
Basi labda umejipata mzee una fuba la kutoshaKaka mbona ni pombe, mimi pombe situmii kabisa kaka.
Hilo tatizo tunalo wengi toka jana napasha supu, kula sasaHadi sasa Sili vzr, nadhani napaswa kuboresha mlo.
Mzee fuba ni kitu gani hicho tena?Basi labda umejipata mzee una fuba la kutosha
Wapo wengi tu...ukiwa unasoma coment utawajua...wanajichanganya kwenye comentWewe ndiye mwenye uzi kumbe? Hii ni ID yako nyingine?
Daktari kasemaje sasaHilo tatizo tunalo wengi toka jana napasha supu, kula sasa
Mpk imebidi nimuone daktari.