Kama lililomnyorosa Goliath?Kombeo mkuu
Duh!Pia marubani wa B-2 huvaa Diapers (Pampasi) Kwa sababu wanaruka kwa masaa mengi angani.
Mkuu, unazijua kilometa 28,000? Kama tu urefu wa dunia nzima (equator) ni takribani 40,075 km, hivyo 28,000 km ni karibu robo tatuya dunia, hakuna ndege ya kivita inayoshambulia kutoka umbali huo.B-2 ili ishambulie lazima iwepo 28,000 kilometers umbali huu tayari radar ishaiona na kuilock kwenye anti air strike.
Ndiyo uwezo wetu mkuu tutafanyaje?Sisi ni mwendo wa kuzindua sheli na viwanda vya kupasua kokoto
Spider man kama sikosei away from home kama sijakosea title wapo avengers ijapokuwa niliiona kama ya kitoto zaidi kwa fiction zakeHii kitu kama nishawahi kuona filamu moja ya Hollywood inaelezea hii idea. Jina nimeisahau. Ilikuwa ni Sci-fiction film ya kufikirika
Mkuu, kwahiyo lile bomu la GBU 57 licha ya uzito wake mkubwa, huwa halidondoshwi verticality kwenda kupiga target?.Mkuu, unazijua kilometa 28,000? Kama tu urefu wa dunia nzima (equator) ni takribani 40,075 km, hivyo 28,000 km ni karibu robo tatuya dunia, hakuna ndege ya kivita inayoshambulia kutoka umbali huo.
B-2 ina uwezo wa kusafiri zaidi ya 18,000–20,000 km kwa ujumla (ikisaidiwa na in-air refueling).
Hafu B-2 haihitaji kuingia kwenye anga la adui ili kushambulia coz inatumia makombora ya mbali (standoff weapons) kama JASSM-ER yenye range ya hadi 1,000 km.
View attachment 3387090
Hii ina maana hata kama adui yuko umbali wa 900 km, B-2 inaweza kubaki nje ya anga la adui na bado kupiga vizuri kabisa.
Pia kuhusu kuonekana:
- Radar Cross Section (RCS) ya B-2 ni ndogo sana mara nyingine hufanana na ndege ndogo au ndege wa porini kwenye radar.
- S-400/S-500 na radar za kisasa zinaweza kuiona ndege stealth lakini kwa umbali mfupi tu (kati ya 150–400 km, kutegemea na technology ya iyo ndege).
- Hafu pia, kuiona ni ishu nyingine na ku-lock target ni ishu nyingine.
Huko sahihi mkuu, GBU 57 MOP zito sana, above 10 tonnes.Mkuu, kwahiyo lile bomu la GBU 57 licha ya uzito wake mkubwa, huwa halidondoshwi verticality kwenda kupiga target?.
Halafu huwa linafanyaje kazi lile bomu, maana nilijaribu kulisoma kwa uchache na kupata abc kwamba likitua ardhini huwa linajichomeka kwa nguvu ya gravity hadi kina cha futi 200 ndipo linalipuka. Je, wewe unalielewaje juu ya utendaji wake?.Huko sahihi mkuu, GBU 57 MOP zito sana, above 10 tonnes.
Kwahiyo kurusha kutokea mbali ngumu sana, ila haidondoshwi vertically (drophead) kwenye target inakua dropped In ballistic trajectory. Kulidrop vertically haitakua na effect kubwa especially kwenye kutindua bunkers.
😀😃😃😃😃😃Kombeo mkuu
Nilisoma juu juu, vitu vinne hapa vinahusika:Halafu huwa linafanyaje kazi lile bomu, maana nilijaribu kulisoma kwa uchache na kupata abc kwamba likitua ardhini huwa linajichomeka kwa nguvu ya gravity hadi kina cha futi 200 ndipo linalipuka. Je, wewe unalielewaje juu ya utendaji wake?.
Hawa jamaa sayansi wameielewa kwa vitendo. Crews wa ile B-2 iliyoangusha mabomu Fordow, walihojiwa juu ya experience yao kwenye ile mission, wanakuambia lile bomu likifyatuliwa unahisi kabisa ndege inakuwa nyepesi na inajisukuma kwenye juu kiasi.Nilisoma juu juu, vitu vinne hapa vinahusika:
1. Uzito wake (tunaogelea tani 13)
2. Shape yake (aerodynamics shape kama mshale)
3. Style ya kurushwa
4. Speed ya ndege (na concept ya inertia itahusika hapa)
Sasa hii inapelekea chuma kugain kinetic energy ya kutosha, ndio maana rahisi kupenetrate.
View attachment 3387943
Sketch hiyo imejaribu kussimarize kidogo.