Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

Hawa jamaa sayansi wameielewa kwa vitendo. Crews wa ile B-2 iliyoangusha mabomu Fordow, walihojiwa juu ya experience yao kwenye ile mission, wanakuambia lile bomu likifyatuliwa unahisi kabisa ndege inakuwa nyepesi na inajisukuma kwenye juu kiasi.
Hahahahaaa mabomu mazito sana man. Sanaa
 
USA kwenye air wako vizuri just imagine ile vita ya Israel na Iran, siku 12 Israel anamshambulia Iran kwa ndege mchana kweupe na usiku ila wanashindwa hata kuzitungua
Sio ndege zote zinatungulika. Mojawapo ni hiyo B-2
 
Mkuu, unazijua kilometa 28,000? Kama tu urefu wa dunia nzima (equator) ni takribani 40,075 km, hivyo 28,000 km ni karibu robo tatuya dunia, hakuna ndege ya kivita inayoshambulia kutoka umbali huo.

B-2 ina uwezo wa kusafiri zaidi ya 18,000–20,000 km kwa ujumla (ikisaidiwa na in-air refueling).

Hafu B-2 haihitaji kuingia kwenye anga la adui ili kushambulia coz inatumia makombora ya mbali (standoff weapons) kama JASSM-ER yenye range ya hadi 1,000 km.
View attachment 3387090
Hii ina maana hata kama adui yuko umbali wa 900 km, B-2 inaweza kubaki nje ya anga la adui na bado kupiga vizuri kabisa.

Pia kuhusu kuonekana:
  • Radar Cross Section (RCS) ya B-2 ni ndogo sana mara nyingine hufanana na ndege ndogo au ndege wa porini kwenye radar.
  • S-400/S-500 na radar za kisasa zinaweza kuiona ndege stealth lakini kwa umbali mfupi tu (kati ya 150–400 km, kutegemea na technology ya iyo ndege).
  • Hafu pia, kuiona ni ishu nyingine na ku-lock target ni ishu nyingine.
Yaani naweza sema kuiona ni jambo moja , namna kuitungua sasa ni another topic unayoweza kuisoma 3 years in college 🤣🤣🤣
 
Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata kuifikiria?
View attachment 3386987
Historia Fupi ya B-Series Bombers
Marekani imekuwa ikitengeneza ndege za kubeba mabomu tokea kitambo sana. Hizo chuma wamekua wakiziita kwa herufi B ikimaanisha Bomber.

Baadhi ya izo ndude ni pamoja na:

B-17 Flying Fortress – Zilizotumika vita vya Dunia vya Pili, kwa sasa zipo retired.
View attachment 3386989
B-52 Stratofortress – Hizi chuma zipo hadi leo, na zina uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, hii sifa kuu ni destruction ila stealth capability ndogo.
View attachment 3386990
B-1B Lancer – Hizi ni za supersonic, inasafirisha bombs kwa speed kubwa sana.
View attachment 3386993
B-2 Spirit – Stealth bomber hizi ndio topic kuu ya leo, sifa kuu ni kutoonekana kirahisi na radar.
View attachment 3386992
B-21 Raider – Ndege mpya ya stealth, bado ipo kwenye majaribio kwahiyo ni more advanced kuliko B-2.
View attachment 3386995

Turudi kwenye topic:
View attachment 3387013
B-2 Spirit ndiyo iliyovunja rekodi kwa teknolojia ya “stealth” iliyopelekea uwezo wa kuingia anga la adui bila kugundulika na radars.

Sifa Kuu za B-2 Spirit:

Size: Upana karibia mita 52, urefu mita 22 na kimo mita 5. View attachment 3387012

Crew members: Wawili tu (2), Rubani na mission commander.
View attachment 3387020
Maximum Speed: Inaenda hadi 1,010 km/h

Umbali bila kuongeza mafuta: Approx 11,000 km pia ikiishiwa mafuta inafanyiwa in-air refueling kwa kutumia ndege kama KC-135 au KC-10, na hivyo kuongeza range hadi zaidi ya 19,000 km.
View attachment 3386997
Combat Radius: Approx 5,000 km

Mzigo wa mabomu inayoweza kubeba: Approx 18,000 kg (inaweza kubeba mabomu ya kawaida au ya nyuklia)
View attachment 3386998

Taking Off Distance: Approx 2,400 m

Landing Distance: ~1,800 m

(Ndio maana izi haziwezi kutua katika Aircraft carriers kama Jets nyingine).
View attachment 3387001

Bei ya B-2 Spirit ni habari nyingine:
Ingawa haziuzwi, ni mali ya USAF ila bei ya kutengeneza moja: $2.1 bilioni, ni sawa na zaidi ya TSh 5.4 trilioni

(Mara 2+ ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi ya Tanzania 2024/25: TSh 2.4 trilioni ($960 milioni))

Hao US wenyewe wametengeneza jumla 21 tu, moja ilianguka 2008 mara tu baada ya kutakeoff (watu wa utabiri wa hali ya hewa walizingua).

View attachment 3387008moja ipo kwaajili ya training na 19 zipo mzigoni standby.
View attachment 3387009

Kwanini B-2 haionekani kirahisi na rada hata za kisasa:
  • Muundo wa “Flying Wing” – haina fuselage au tail na engine imefichwa kwenye mabawa (cheki matundu unayoyaona kwaajili ya airflow kuingia kwenye engine)View attachment 3387019
  • RCS (Radar Cross Section) iko karibu sawa na ndege ya kawaida au ndege isiyo na rubaniView attachment 3387014
  • Surface materials zinaabsorb mawimbi ya rada badala ya kuyareflect ili yarudi kwenye radar. View attachment 3387018

Kama nchi, Tanzania, tunaweza imiliki?
Kwa sasa, HAIWEZEKANI kwa sababu:
  • Gharama ni kubwa mno kwa bajeti yetu, kuanzia kununua na running cost.
  • Hatuna infrastructure ya kuiendesha
  • Issue ya mafunzo ya kuendesha
  • Sera yetu ya ulinzi si ya mashambulizi ya kimataifa
  • Ni ndege ya “strategic offense” zaidi ya “defensive deterrent”
Mbadala wake sasa?

Badala ya kuota ndoto za B-2, Tanzania tunaweza kuwekeza katika:
  • Fighters wa kati kama JF-17, L-15, au Su-30
  • Drones kwa upelelezi na ulinzi wa mipaka
  • Radar systems za kitaifa
  • Defense electronics – kama EW, signal jamming, na surveillance
  • Kuanzisha viwanda local vya kijeshi kwa matengenezo na assembly ya vifaa vyetu.
Sema tuzidi kuombea Amani na utulivu aya mambo tuyasome Jukwaa la Kimataifa tu.
Unyama sana
 
Hii ni elimu kubwa Sana Kwa vijana wa Leo.....
Angalia hii video ya B2 bomber siku ambayo walikuwa wanaenda kupiga vituo vya nuclear
 
Attachments

  • VID-20250624-WA0065.mp4
    22.6 MB

Zamani ukileta hizi stori watu wa imani watakuambia " Kama wanaweza waipitishe hata kwa bahati mbaya lrani" sasaivi wapo kimya wanakuchora tu
 
Pamoja na hayo yote na sisi tunatekinolojia yetu ambayo wamarekani hawawezi wakaifikia kila siku tunaboresha tekinolojia ya kuiba kura ili tuendelee kuwepo madarakani milele na milele.
 
Back
Top Bottom