Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

Hawa jamaa sayansi wameielewa kwa vitendo. Crews wa ile B-2 iliyoangusha mabomu Fordow, walihojiwa juu ya experience yao kwenye ile mission, wanakuambia lile bomu likifyatuliwa unahisi kabisa ndege inakuwa nyepesi na inajisukuma kwenye juu kiasi.
Hahahahaaa mabomu mazito sana man. Sanaa
 
USA kwenye air wako vizuri just imagine ile vita ya Israel na Iran, siku 12 Israel anamshambulia Iran kwa ndege mchana kweupe na usiku ila wanashindwa hata kuzitungua
Sio ndege zote zinatungulika. Mojawapo ni hiyo B-2
 
Yaani naweza sema kuiona ni jambo moja , namna kuitungua sasa ni another topic unayoweza kuisoma 3 years in college 🤣🤣🤣
 
Unyama sana
 
Hii ni elimu kubwa Sana Kwa vijana wa Leo.....
Angalia hii video ya B2 bomber siku ambayo walikuwa wanaenda kupiga vituo vya nuclear
 

Attachments

  • VID-20250624-WA0065.mp4
    22.6 MB
Zamani ukileta hizi stori watu wa imani watakuambia " Kama wanaweza waipitishe hata kwa bahati mbaya lrani" sasaivi wapo kimya wanakuchora tu
 
Pamoja na hayo yote na sisi tunatekinolojia yetu ambayo wamarekani hawawezi wakaifikia kila siku tunaboresha tekinolojia ya kuiba kura ili tuendelee kuwepo madarakani milele na milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…