Watu wanajua kutunza aisee

Hata mm niliiyona sinza hiyo yenye namba A

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Ushaambiwa gari za TEETH.
 
hahahaaaaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi umehisi kibao cha gari ni feki
Wapo wanao fake ha hasa wasiojulikana, kwamfano kuna cruiserfulani V8 new model ina namba za ACC huko
 
wakati usajili namba A unamalizika hiyo gari ilikuwa haijatengenezwa au tuseme bongo hazikuwepo swali ameipata wapi
siyo wote wananunua second hand cars kijana. Angalia gari za model hiyo zilianza kutengenezwa lini? Mfano IST ziko miaka mingi nyuma (zile first generation), huku kwetu gari huanza kuingia kwa wingi baada ya miaka kama kumi baada ya kutengenezwa
 
Unabisha nini sasa?

Juzi tu hapa nmeona hizi landcruiser 300 series ikiwa na usajili wa namba A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…