CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyo mtu alinunua hiyo gari ikiwa zero km mwaka 2003 namba bado zilikuwa A.Kwani
namba A imeanza mwaka gani,
na hiyo gar Ni ya mwaka gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu alinunua hiyo gari ikiwa zero km mwaka 2003 namba bado zilikuwa A.Kwani
namba A imeanza mwaka gani,
na hiyo gar Ni ya mwaka gan?
Zipo nyingi
Hata mm niliiyona sinza hiyo yenye namba AKuiyona scania namba d sio tatizo huwenda ndio limenunuliwa muda huu ,changamoto ni hiyo gari hapo juu kwa maaana wakati usajili namba A unamalizika hiyo gari ilikuwa haijatengenezwa au tuseme bongo hazikuwepo swali ameipata wapi , namm nilishakutana nalo hilo gari sinzaa jamaa akaniambia umeona hiyo hapo kuna namna
Kuiyona scania namba d sio tatizo huwenda ndio limenunuliwa muda huu ,changamoto ni hiyo gari hapo juu kwa maaana wakati usajili namba A unamalizika hiyo gari ilikuwa haijatengenezwa au tuseme bongo hazikuwepo swali ameipata wapi , namm nilishakutana nalo hilo gari sinzaa jamaa akaniambia umeona hiyo hapo kuna namna
Wapo wanao fake ha hasa wasiojulikana, kwamfano kuna cruiserfulani V8 new model ina namba za ACC hukohahahaaaaaaaaa 😂😂😂😂 hadi umehisi kibao cha gari ni feki
siyo wote wananunua second hand cars kijana. Angalia gari za model hiyo zilianza kutengenezwa lini? Mfano IST ziko miaka mingi nyuma (zile first generation), huku kwetu gari huanza kuingia kwa wingi baada ya miaka kama kumi baada ya kutengenezwawakati usajili namba A unamalizika hiyo gari ilikuwa haijatengenezwa au tuseme bongo hazikuwepo swali ameipata wapi
Unabisha nini sasa?Kwamba TISS inanunua na kutumia magari kama hayo? Hivi nyie watu huwa mnawaza nini? Mnaamini kuwa hawa watu ni so reckless kutumia vitu ambavyo ni suspicious hata kwa mtu wa kawaida tu? Yaani watake kuficha identities zao lakini wanazificha kwa kutumia uficho ambao ni so obvious and suspicious?