Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

usingizi ni usingizi tu,uwe wa kwenye mkeka au kitanda cha kamba,wote tutaota ndoto mbaya na nzuri pia
 
Sasa mlitaka atumiaje pesa yake? Je mlikuwepo wakati anaihangaikia? Let him enjoy life ni sasa na sio hadi usubiri vitu visivyojulikana wala kuonekana.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Brother utakuja kuwa tajiri mwenye Mali nyingi sana na utaishi maisha utakayotaka believe me....Work hard muombe MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu weusi tuna matatizo sana kwenye matumizi. Badala awekeze for the future yeye anaspend na kutajirisha wengine. Hajifunzi kwa kina Muhamed Ali kina Mike Tyson na wengine walivyfilisika?

Wazungu matajiri kina Bill Gates wanavaa kawaida na wanalala kawaida tu
 
Acheni mawazo ya kimaskini na roho ya kwann waafrika na watanzania wenzangu ndio maana siku zote tunabaki masikini na kusononeka huku furaha yetu ikiwa ni kuona wale wenye nazo wakifirisika...Drake anaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Tsh.

Billion 20 halafu wewe chokoraa unayeishi kwenye kibanda cha kupanga unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi unasema hajawekeza ulitaka awekeze kwenye nn labda. Nashangaa mtu anaropoka eti kina Bill Gate wanavaa kawaida na kuishi maisha ya kawaida Sasa chukua hii siri zile nguo wanazovaa usichukulie poa kwa muonekano zile nguo ni za garama mno na wale hawanunui nguo dukani wanatengenezewa maalum kwa ajili yao na wanaishi maisha ya garama mno ambayo hata kina Drake hawagusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msanii kufanya matumizi ya aina hii ni njia mojawapo ya kujitangaza na kubaki midomoni mwa watu. Hivi tunavyomzungumzia ni pesa kwake.


KUMBUKA: Kampuni hazifanyi matangazo na msanii asiyefuatiliwa na jamii.
 
Nimekusoma mkuu ingawa sikubaliani nawe
 
hahaha sure.
 
Kwani Drake ni Ngozi Nyeusi!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…