Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Haa ina maana hilo godoro linameza wcbwaa,konde gang na kingmusic wote kwa pamoja balaa hili.....
lkn all in all hilo godoro haliwezi kuzidi Raha ya kumlalia mwanamke ha haaa kwendeni zenu na mahesabu yenu....
 
Mbongo kwa kupangia watu jinsi ya kuishi utamuweza basi..
 
Huu ndo ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vigodoro vyetu vya laki 3 unusu na laki 6 sie tunajiegesha tu.

Kuanzia leo nitarudi kujiegesha kwenye kipande changu cha mkeka, ni matusi makubwa kama nikisema nami nina godoro[emoji13]🀣[emoji23]
 
Drake sometimes Mimi naona anazidisha masifuri katika vitu anavyonunua nakumbuka aliwahi kununua Pete ya billioni 2 pia video yake ya God's plan ilitumika zaidi ya billioni 1.4 so far mbona ni video ya kawaida tu!?...simuelewagi huyu jamaa

Video ile ni gharama za video jumlisha na ile misaada aliyotoa mule ndani, kifupi matukio yale ni ya ukweli, hayakuwa maigizo.
 
Anachotuambia nini?? Yeye analala, wengine tunajiegesha??

Everyday is Saturday.....................😎
 
Kwa msanii kufanya matumizi ya aina hii ni njia mojawapo ya kujitangaza na kubaki midomoni mwa watu. Hivi tunavyomzungumzia ni pesa kwake.


KUMBUKA: Kampuni hazifanyi matangazo na msanii asiyefuatiliwa na jamii.
Maskini bna,sasa raha ya pesa ni nini? Me nilalie godoro la 150k na drake naye? Raha ya pesa uionje ladha yake ili upate hamu ya kuitafuta bna,yaani una mabilion ya pesa uhangaishane na daladala si ndagu hz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hamuwezagi kuandika comment fupi fupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…