Watu wanaoa ‘connection’

Mkuu hii ndio inayotakiwa unaangalia future mambo ya sura na umbo linakupeleka wapi maisha mazuri ndio mpango, binafsi nashangaaga vijana wanahangaika na urembo wa kazi gani kwenye maisha magumu haya na tuliioa kamuda kidogo kuna kipindi kinafika mapenzi sio kipaumbele sana unafokasi na maisha kuna ada, bills mbalimbali na mahitaji ya watoto wafurahi baba yupo wakati hio hata urembo haukumbukwi tena.
 
Wengi wanakujaga na akili zao za haki sawa. shida ndo inapoanziaga hapo,halafu unakuta upande mwingine mwanamke kiuchumi yuko njema ana jeuri ya pesa tokea kwenye familia yake alipokulia, hapo lazima pachimbike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…