Watu wanaoa ‘connection’

Sooo truee
 
Hii ndio advantage ya kuoa ushuani, kitu ambacho utakiona sana labda ni mialiko na parties za kuwakutanisha ila sio mambo ya uzandiki.

Halafu wanawake wa kishua wengi wanakuwaga independent thinking yani haitaji mshauri kufanya maamuzi. Wanafanya kile wanachopenda wao kufanya.

Ukipata familia ya kishua iliolea kwa misingi na maadili ya kiafrika hakika umepata mke mwema
 
hahaha chuki ipi jamani , ndo mwanaume uendeshwe kama gari mbovu kisa pesa . Nataka saa kumi uwe hapa na wewe unatii tu jamani hapana . Mwanaume ni kichwa
Huyo ni ndezi, baharia huwezi kumpangia ratiba utachoka na nafsi yako 🤣
 
Nina jamaa alioa mke kwasababu hizo hizo,demu alikuwa wakishua. Kinachotokea sasa hivi, jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsanteeeeeee studiooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…