Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
- Thread starter
- #21
Hifadhi gani ile? Je, kuwaondoa watu kwenye hifadhi ni kuwapiga? Hifadhi za misitu zinajulikana. Hifadhi hutambulika baada ya kutangazwa kwenye gazeti la serikali. Kuna uthibitisho gani kwamba kile kijiji ni hifadhi? Je, umewahi kufika uweze kuelewa ninachozungumza?wahame mara moja kwenye eneo la hifadhi