Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL
Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka Sasa hivi.
Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine mara nyingi na wengi waô hutoka kwèñye Malezi,Makuzi na kusomeshwa katika mazîngira àmbayo yatakuacha mdomo Wazi. Kama Ifuatavyo;
1. Wauza pombe zilizoharamishwa.
Sijajua hii inasababishwa na nini lakini most ya Watu weñye dharau kwèñye Kazi za Watu background Yao itakushtua. Utakuta yeye mwenyewe kakuzwa kwèñye Kilabu cha pombe, Pesa za biashara haramu ya pombe zilizoharamishwa ndîzo zimemkuza.
Lakini ukimkuta Mjini hutoamini.
2. Wauza Madawa ya Kulevya.
Watoto waliokuzwa na kulelewa Kwa Pesa za Madawa ya Kulevya kama Mirungi, cocaine, bangi n.k. wengi wao wakikua hûjikuta wakiwa na dharau na Kazi za watu Wengine.
3. Polisi, Wanasheria na majaji wapiga Dili.
Watoto wengi wa Polisi, wanasheria na majaji au mahakimu waliokuwa wapiga Dili haramu wengi waô huwa na dharau kwa Kazi za Wengine.
Sijajua bado inasababishwa na nini Hali hiyo
4. Watoto wa Dadapoa,makahaba.
Fuatilia utakuja kuniambia. Au angalia Mtu yeyote mwenye kudharau Kazi za Watu Wengine fuatilia background Yake utakuja kuniambia.
5. Wezi na Majambazi
Hapa tuna mafisadi katika ngazi ya juu Kabisa mpaka wezi wa Kawaida.
Sijajua uhûsiano uliopo Baina ya ujambazi au ufisadi na kuambukiza dharau Kwa Watoto au kizazi.
Siô rahisi ukute Mtoto wa Fisadi awe humble asiye na Makuu. Asilimia kûbwa hudharau Kazi za Wengine.
Ukiona Daktari au Mwalimu, au mhasibu, au Injinia, au mtangazaji yeyote àmbaye anadharau Kazi zingine elewa lazima kuna uhalifu àmbao anaufanya àmbao Watu hawajaujua.
Ukiona Mchungaji, sheikhe, au Kiongozi wa Dini anadharau Kazi za Watu Wengine Jua ya pazia anavitu Vizito anavifanya.
Lakini kûna àmbao hawafanyi uovu siô kwamba waô NI Wema au watakatifu Sana Bali NI Kwa sababu hawapo kwèñye mazîngira yanayowaruhusu kufanya uhalifu.
Watu hawa nao Watoto waô nao hûjikuta katika mkondo wa kudharau Kazi za Watu Wengine l.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam