Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

Hao wamewazidi lishe hata matajiri wanaokula mafuta na sukari kwa wingi. Hujasoma uzi na kuelewa?
Hizo ni fikra za kimaskini ukijua mlo kamili ni nini utaelewa ukiona mtu anakipato kizuri na hali mlo kamili basi afya ya akili ni ziro na ndio kama wewe kusema wanakula mayunda na mizizi basi wana afya kuliko wengine 😂😂😂 nishafika kwa wa hadza og sio wale kina dudukwee wa youtube wale og kuna muda wanakaa siku tatu ni kula matunda na mizizi na wadudu mlo kamili hawapati unaleta porojo hapa
 
Sasa kula matunda, wadudu na mizizi kwa siku tatu kunakuwaje siyo mlo kamili? Ulitaka wanywe na Cocacola!!?
 
BINAFSI NAONA WAHADZABE WANAISHI MAISHA YA MATESO SANA.
KWANZA KULA KWAO KWA TABU WANYAMA WENYEWE WANAOWATEGEMEA SIKU HIZI WAMEPUNGUA NA HAWAWEZI KUPATIKANA KWA URAHISI KAMA ZAMANI. FIKIRIA KIPINDI CHA MVUA KAMA HICHI WANAISHI VIPI? NA HAWANA AKIBA YA CHAKULA, YANI HAO WANAISHI KAMA NDEGE TU.
KIUFUPI USISIFIE MAISHA YA HAO JAMAA WAKATI HAUJAFUATILIA CHANGAMOTO ZAO UNATUAMINISHA WANA AFYA NJEMA WAKATI MARA NYINGI WANAKULA NYAMA MBICHI? NA HATUWAONI WATU WENYE UMRI MKUBWA KULE KAMA MIAKA 80 NA KUENDELEA HIVYO INAMAANISHA HAWANA AFYA NJEMA YA KUWAFANYA WASTAHIMILI KUISHI MUDA MREFU.
 
Nilipokwenda kutembea kule niliuliza mbona sioni wazee wakasema wapo kwenye mila ila kila wakati nikienda siwaoni. Na afya zao sio nzuri kiuhalisia ukiona mtu anawatetea yeye naye mlo kamili unampiga chenga mpka anatamani awe mtu pori ale wadudu na matunda mkuu ni janga asilimia kubwa now watz hawana uwezo wa kula mlo kamili
 
Wanazeeka vizuri tu. Wao hawaoni mateso, wanakuona wewe unayelima unateseka sana. Pamoja nayote, hao huwezi kuta wanamagonjwa yatokanayo na lishe mbovu.
 
Wanazeeka vizuri tu. Wao hawaoni mateso, wanakuona wewe unayelima unateseka sana. Pamoja nayote, hao huwezi kuta wanamagonjwa yatokanayo na lishe mbovu.
View attachment 2812773
Usikaze fuvu kwa kudanganya hiyo ni kabila la south ambao hata hawana utaratibu wa kihadza muda mwingine usionyeshe udhaifu wa ubongo wako ndio maana Mungu akauficha ndani ya fuvu.
 
Usikaze fuvu kwa kudanganya hiyo ni kabila la south ambao hata hawana utaratibu wa kihadza muda mwingine usionyeshe udhaifu wa ubongo wako ndio maana Mungu akauficha ndani ya fuvu.
Mada haizungumzii wahadzabe. Inazungumzia watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama wahazdzabe. Wa leo na wa kabla kilimo hakijagunduliwa. Ukiwa na akili mgando ndiyo utakazana kuzungumzia wahadzabe. Cheki hawa mbilikimo na afya zao.

Bado hujapost picha mpaka upost hao wa south uliopost wanaishi tofaut na watu pori hao mbilikimo nao Washahama huko kwenye kula vyakula vya porini kabila lililobaki na tamaduni yake og ni hadza na wao wanaihama taratibu kulingana na utandawazi. Bado hujasema mpaka useme.
 
Ndiyo maana nimesema ukiwa na akili mgando utafikiria kuwa hunter gatherers duniani ni wahdzabe tu. Umewahi wasikia wa-Andamanese kutoka Andaman islands?
 
Ndiyo maana nimesema ukiwa na akili mgando utafikiria kuwa hunter gatherers duniani ni wahdzabe tu. Umewahi wasikia wa-Andamanese kutoka Andaman islands?
Bado hujasema yaani mpaka useme. Kaa kwenye point ueleweke usiruke ruke kama harage kwenye moto
 
Ndiyo maana nimesema ukiwa na akili mgando utafikiria kuwa hunter gatherers duniani ni wahdzabe tu. Umewahi wasikia wa-Andamanese kutoka Andaman islands?
Alafu unapozungumzia jambo jitahidi kuwa na mifano ulioiona kwa macho yako bampa tu bampa sio kuangalia maigizo ya kwenye tv nimewazungumzia hadza kwakua umewataja kwenye kichwa cha habari yako na nimewazungumzia pia kwakua natembelea maeneo yao kila mara japo sio wakati wote. Jiulize umewataja alafu unawaruka afya ya akili ipo njema kweli
 
Kipindi cha ukame wanyama wengi wanaelekea mtoni hasa Tarangire au lake Eyasi au Natron kutafuta maji...hivyo wanakuwa mbali sana na makazi ya Wahadzabe kama Yaeda chini
 
Wanakula Organic food lakini maisha marefu hayategemei chakula tu, changamoto za hali ya hewa kama mvua, ukame, Magonjwa n.k ni tatizo pia inayofupisha maisha yao
 
Usikaze fuvu kwa kudanganya hiyo ni kabila la south ambao hata hawana utaratibu wa kihadza muda mwingine usionyeshe udhaifu wa ubongo wako ndio maana Mungu akauficha ndani ya fuvu.
Huyu sidhani kama alishawatembelea Wahadzabe
 
Kipindi cha ukame wanyama wengi wanaelekea mtoni hasa Tarangire au lake Eyasi au Natron kutafuta maji...hivyo wanakuwa mbali sana na makszi ya Wahadzabe kama Yaeda chini

Kwa wahdzabe sina experiance nao sana me nimejiongelea jamii nayotoka ya wasandawe kipindi cha masika uwindaji so sana watu wana deal na mitengo ya kuacha usiku then asubuhi unaenda check
 
Unataka sote tuishi km wao?.Je,umefanya Research kujua Life span yao?,Je,umefanya utafiti kujua km huwa hawaugui magonjwa?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…