Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Sasa anacho lilia Vick nn? Wakati YY ndio alikua anamlea?DK.

Sema Dk alishuhudia kiongozi wa malaika kakufa zake ndio na YY akafaliki.
Sema mwambie Vicky apunguze ulozi kazidi Daaah mpk noma.
Kudanga kuna mwisho na uzee huo tayri na alipokua anasubilia napo pamebuma. Kazi anayo na watu wamejua kua analenga wazee ili afaidi.kumbe wanamchora tu.
 
Vicky ni demu wa kitown town.... amekuwa mbunge....

anafahamiana na watu wengi wakubwa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya fedha....

Si ajabu alishafanya mchongo kitambo!!!..... Pesa zilizokuwa kwenye akaunti za mzee zikahamishiwa kwake
Mambo sio rahisi ivo mkuu..hao watu wangemsaidia ashinde kesi....mahakama imshapiga Pini Mali zote...usifikiri hao watoto wa marehemu hawajajipanga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.

19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.

Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.

Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.

Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.

Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.

Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia

Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.

Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.

Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.

Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.

Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.

Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?

Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.

Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".

View attachment 2755925
Hamna kitu hapa. Vicky ni failed gold digger, hakuwahi kuolewa na Sirvacus Likwelile. Kama wewe Pfizer ni ndugu wa huyu malaya, mwambie kuwa akizidi kukomalia mali za watoto wa Likwelile tutamroga sisi wapogoro.
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Acha ujinga, jishirikishe na watu wenye akili. Nenda kasome sheria ya ndoa ya mwaka 2009 halafu ulete hicho kifungu
 
Back
Top Bottom