Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Sasa anacho lilia Vick nn? Wakati YY ndio alikua anamlea?DK.

Sema Dk alishuhudia kiongozi wa malaika kakufa zake ndio na YY akafaliki.
Sema mwambie Vicky apunguze ulozi kazidi Daaah mpk noma.
Kudanga kuna mwisho na uzee huo tayri na alipokua anasubilia napo pamebuma. Kazi anayo na watu wamejua kua analenga wazee ili afaidi.kumbe wanamchora tu.
 
Vicky ni demu wa kitown town.... amekuwa mbunge....

anafahamiana na watu wengi wakubwa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya fedha....

Si ajabu alishafanya mchongo kitambo!!!..... Pesa zilizokuwa kwenye akaunti za mzee zikahamishiwa kwake
Mambo sio rahisi ivo mkuu..hao watu wangemsaidia ashinde kesi....mahakama imshapiga Pini Mali zote...usifikiri hao watoto wa marehemu hawajajipanga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hamna kitu hapa. Vicky ni failed gold digger, hakuwahi kuolewa na Sirvacus Likwelile. Kama wewe Pfizer ni ndugu wa huyu malaya, mwambie kuwa akizidi kukomalia mali za watoto wa Likwelile tutamroga sisi wapogoro.
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Acha ujinga, jishirikishe na watu wenye akili. Nenda kasome sheria ya ndoa ya mwaka 2009 halafu ulete hicho kifungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…