Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Naona umeamua kuja kujitetea na huku
Ila tulia zamu yako ya kuteseka
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Kwa sisi watu wa kawaida, ukikaa na mwanamke miezi miwili bila cheti cha ndoa ni mke halali akienda mahakamani kudai talaka mbona mtagawana hadi vijiko
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Mkuu hizo tetesi ni mfu kwenye sheria ya ndoa ya '71 inayotumika hivi sasa.

Mwanamke hata uishi naye kinyumba miaka100 bila ndoa inayoeleweka kisheria, siku ukifa mwanamke huyo hana haki yoyote.
 
Vicky ni demu wa kitown town.... amekuwa mbunge....

anafahamiana na watu wengi wakubwa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya fedha....

Si ajabu alishafanya mchongo kitambo!!!..... Pesa zilizokuwa kwenye akaunti za mzee zikahamishiwa kwake
Mmmhhhh ..... Jamani punguzeni maneno..... Daaaaahhhhh😭🤣
 
Umeula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua
 
Hamna kitu hapa. Vicky ni failed gold digger, hakuwahi kuolewa na Sirvacus Likwelile. Kama wewe Pfizer ni ndugu wa huyu malaya, mwambie kuwa akizidi kukomalia mali za watoto wa Likwelile tutamroga sisi wapogoro.
Kweli kabisa, Kaolewa kwa kufoji sehemu mbili,Cha Rita kafoji, Cha kanisa Arusha nabii kahojiwa kakana hakuna kitu Kama icho, wamemuone huruma angewekwa ndani kwa kufoji vyeti vya ndoa.
 
Zina majina ya Katibu Mkuu.

Ingekuwa kuna majina ya mwanamke basi mwanamke asingehitaji ndoa (iwe halali, iwe feki) kupatiwa pasu yake.

Mfano, haka kadada kanakoishi na Tandale inajulikana hakana ndoa, wanaishi kihuni japo mwamba anapenda kujinasibu na usafi. Sasa sheria haiwazuii wachafu hawa leo hii kununua shamba au V8 lenye majina mawili, umiliki huu huitwa TENANCY lN COMMON, kila mtu ana dau lake ndani ya umiliki. Tandale akinyooka ghafla kama Mithun Chakraborty alivyonyooshwa Sinza na kale kabinti ka shule alikokuwa anaka molesti huwezi kukanyima kabinti pasu yake kwa vile eti hakakuwahi kuolewa.

Again, Raia wawili wowote wanaruhusiwa kumiliki mali kwa pamoja. Ndio maana PRESCRIBED FORM 19 ya kuombea umiliki wa eneo ina nafasi tatu za kujaza majina, na haiulizi waombaji mna mahusiano gani.
 
Viki mwizi yani ipo ivi alete. Ata kaunta book lenyw rekodi na risiti za manunuzi ya vituu vilivyjengea iyo nyumba, baba kamwoa mama then wakatengana tu kilocal mzee kaenda uko kavuta kabinti mali zote bado zitakuwa ni za ndoa ya mwanzo labda tu busara itumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…