Akitoe wapi? Alikuwa mharibifu tu Kama waharibifu wengine. Kazi zao Kubwa ni kuwaliwaza waumme bila kujali huko mbeleni ni mshike mshike au laβ¦ Na wanajuwaga sana kuchanua miguuβ¦Mtoa Mada, Vick ana cheti cha Ndoa na Marehemu?
ndo yale ya bange na dhahabu vikipatikana shambani kwakoHaya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
AiseeSasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.
Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky Wanamuachaje?
Fanya yanayokuhusu unaandika upuzi mtupu unamjua likwelile vizuri ww au umetumwa kitu usikichokijua ni bora ukanyamaza kimya kipindi hicho sijui hata kama ulikuwa umemaliza form 4 wewKatika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.
Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.
Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.
Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.
Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia
Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.
Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.
Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.
Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.
Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.
Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".
View attachment 2755925
Vicky hakuwa mke wa Dr.Likweli mahakama imesema.Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.
Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.
Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.
Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.
Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia
Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.
Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.
Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.
Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.
Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.
Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".
View attachment 2755925
Nani kasema Vicky hana Cheti? Walichokiita ndoa baina yao kilikuwa batili( nullity) uwe na Cheti ama usiwe nacho.SHERIA no msumeno,SHERIA inaumiza.hapo. Mchawi NI CHETI Cha ndoa.kama huna Basi Mali ziwe za majina yako.
Imeandikwa wapi?Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Na ujinga mwingine wanasema Vicky ana hela halafu anang,Ang,ania nyumba si awaachie ajenge nyingineUjinga, Mahakama imesema Vicky hakuna na ndoa halali, sasa sijui unamtetea nini!!!?? Kama unayosema ni sawa, Vicky alikuwa anafanya nn mahakaman? Watu wa hovyo sana nyinyi.
Kuna katoto kanaitwa Boris kalikuwa kanasoma Canada, Muulize nani akikuwa anakulipia ada wakati Likwelile katimuliwa kazi? Atakuambia ni Vicky.Twende taratibu kama Likwelile alikuwa Hana hela aliekuwa anasomesha watoto wake Canada ni nani?...
Hizo account zimeshikiliwa Hadi Leo?
Mbona watoto hawana Ada baada ya Baba Yao kufa?..
Duu haya moisha bana, yaani jamaa pamoja na fedha zake zote alikuwa anaishi kama njiwa, mara Tabata kwa watoto kusalimia, mara Tegeta kulala, sas kuna haja gani yakuwa na fedha kama huna amani na kuishi kwa starehe na watoto wako?Kuna katoto kanaitwa Boris kalikuwa kanasoma Canada, Muulize nani akikuwa anakulipia ada wakati Likwelile katimuliwa kazi? Atakuambia ni Vicky.
Watoto wa Likwelile walizowea kufanyiwa kila kitu na Baba yao. Vijana wakubwa wanapenda starehe kazi hawataki ndo maana qanamaumbia Vicky maana hawana kazi maana na watapenda kwenda kidimbwi na wasichana cha kuwapa hawana ππ hasira zote zinaeda kwa vicky
Vicky alikuwa analipa ada tangu likwelile kafariki hakajaenda shule. Tena hao ndo Mama yao ilifariki 2014 Vicky ndo akaolewa.
Wanaume wasiri sana. Vicky hakutambua wala hakuwahi kusikia kamaLikwelile alikuwa na ndoa nyingine sababu Likwelile alikuwa na mke Tegeta na Vicky alikuwa anaishi Sinza. Walipooana wakahamia nyumba ya Serikali.
Walipokuwa kwenye nyumba ya serikali ndo wakanunua Mbweni na wakahamia baada ya Likwelile kutumbuliwa.
Sasa watoto walifukuzwa wapi wakati walikuwa wanaishi Tegeta na yule alieachwa alikuwa amepanga Kibaha na hao watoto wake wasumbufu walikuwa wanaishi tabata?
Likwelile alikuwa anaenda kusalimia wanae Tabata kisha anarudi kukaa Mbweni.
Wamuache Vicki ale maisha banaπππ. Waendelee kukaa tabata. Baba yao kabla ya kufa kwanini walikataa kukaa Mbweni?
Usipoteze muda wako na hivi vichawa vya mitandaoni, thamani ya utu wao ni bundle tu na offer za bia.Twende taratibu kama Likwelile alikuwa Hana hela aliekuwa anasomesha watoto wake Canada ni nani?...
Hizo account zimeshikiliwa Hadi Leo?
Mbona watoto hawana Ada baada ya Baba Yao kufa?..
Kachawa kasicho na aibu, kama unajifanya unayajuwa kweli mahusiano ya Likwelile kwa nini husemi ukweli Vicky alimpinduwa yule Dada wa Tasaf kwa mandumba yake?Kuna katoto kanaitwa Boris kalikuwa kanasoma Canada, Muulize nani akikuwa anakulipia ada wakati Likwelile katimuliwa kazi? Atakuambia ni Vicky.