Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Marehemu hufa na chake,mwanangu pigana upate chako.....


Ndo za kikiristo ni bomb....
 
Ndo za kikiristo ni bomb....

Kwenye kuacha,kwenye mirathi na kwenye kuwowana
 
Huyo anaeomba ruhusa sio mwanaume mwenzetu,sisi tunaongeza masuria kadri ya wallet zetu..nimuombe ruhusa yeye mzazi wangu,kanikuta na meno 32 na kende zangu
 
Ndo za kikiristo ni bomb....

Kwenye kuacha,kwenye mirathi na kwenye kuwowana​
Mwanamke anaweza kuzingua atakavyo kisa analindwa na sheria ya ndoa, bunge la kenya walivyotupilia mbali hii sheria kandamizi ya kumwomba ruhusa mke wa kwanza ili uongeze mke wabunge wanawake walilalalamika sana kwamba inamnyanyasa mwanamke, wao manyanyaso kwa mwanaume hawayaoni....wanataka mwanaume ufe na tai shingoni🤣​
 
Huyo anaeomba ruhusa sio mwanaume mwenzetu,sisi tunaongeza masuria kadri ya wallet zetu..nimuombe ruhusa yeye mzazi wangu,kanikuta na meno 32 na kende zangu
Kweli kabisa, mchawi wallet....hawa viumbe hawachelewi kukugeuza zuzu.
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Aiswe na ndoa, kama ilikuwepo basi iwe imeevunjika kisheria
 
Aiswe na ndoa, kama ilikuwepo basi iwe imeevunjika kisheria
Watanzania wengi hawapendi kufuata sheria na taratibu tulizojiwekea kama Taifa,si wasomi wala ma layman, hadi siku wakibananishwa Mahakamani wanaanza kumbwela mbwela 'ooh sikujua,mi nilijua ni hivi na ndiyo maana nikafanya hivyo" kutokujua sheria siyo utetezi eti usamehewe!!
 
Ila wabongo umasikini unatuvurugaaa😂😂😂
Mtu anakuwa na hasira na mali hata hazimhusu nyiee!!!
 
Sasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.

Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky Wanamuachaje?
Kwa hiyo ameliwa mzigo miaka sita burebure kabisa
 
Kusema kwamba katibu mkuu wizara ya fedha hakuwa na hela nitakupinga maisha. Kuna kazi nyingine ukizifanya ili uwe salama inabidi na wewe "ule"... yaani hata uwe mtakatifu kiasi gani lazima utakula tu na walaji wengine. Kwa cheo chake hela zilikuwa zinamfuata.
 
Kuna haja ya kubadili mambo!

BADO cheti cha ndoa na ndoa KWA ujumla inaonekana kama hati ya kifo cha mume na umiliki mali KWA mwanamke baada ya kufiwa na mume!!

DHANA hii inachochea vifo vya wanaume wengi coz tayari cheti cha kifo cha mwanamme husainiwa mapema kabla hajafa ndio hicho cheti cha ndoa!!

DHANA hii itatumaliza WANAUME unconsciously KWA imani kujengeka KWA mwanamke aliefunga ndoa KUWA "SASA akifa mali zote ni zangu"imani hii itaharakisha. Maisha ya mume kwenda KWA baba hata kabla ya WAKATI!!

Na cha kusikitisha wanawake wengi wanaofubga ndoa wanaamini KUWA waume zao ndio watatangulia kufa mapema wao wamiliki mali,DHANA hii naiona hata KWA wanawake wengi wakiamini wanaume tutakufa tuwaachie mali !hii inanisikitisha sana!!

Ni dhahiri SASA wanaume tutaziogopa ndoa na uchumba sugu utakua ndio mtindo salama wa MAISHA!!

Nimejaribu kuandika KWA unyenyekevu sana!!
 
Reactions: dtj
Huko mbweni Likwelile alinunua hiyo nyumba kwa utaratibu unaofahamika kwani wengi waliohusika na taasisi za fedha wana nyumba kule wakiwemo binamu yake Likwelile marehemu Benno Ndullu former Bot governor, former deputy governors Lila Mkila and Natu Said-Elmamry ambae sasa ndio katibu mkuu Hazina!
Vick aeleze na kuthibitisha mchango wake kwenye hizo mali.
Unfortunately, vick hajatuambia hizo mali anazozililia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…