Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo za kikiristo ni bomb....Hiyo sheria ya ndoa imejaa ukandamizaji, iweje isimtambue Vicky kama mke ikiwa wamekaa miaka saba......ndo maana bunge la Kenya walitupilia mbali swala la mwanaume kumwomba mke ruhusa ili kuongeza mke wa pili, ni sheria inayolenga kumnyanyasa mwanaume akose option endapo ataingia kwenye mgogoro mkubwa na mke wa kwanza.
Huyo anaeomba ruhusa sio mwanaume mwenzetu,sisi tunaongeza masuria kadri ya wallet zetu..nimuombe ruhusa yeye mzazi wangu,kanikuta na meno 32 na kende zanguHiyo sheria ya ndoa imejaa ukandamizaji, iweje isimtambue Vicky kama mke ikiwa wamekaa miaka saba......ndo maana bunge la Kenya walitupilia mbali swala la mwanaume kumwomba mke ruhusa ili kuongeza mke wa pili, ni sheria inayolenga kumnyanyasa mwanaume akose option endapo ataingia kwenye mgogoro mkubwa na mke wa kwanza.
Ndo za kikiristo ni bomb....
Kwenye kuacha,kwenye mirathi na kwenye kuwowana
Kweli kabisa, mchawi wallet....hawa viumbe hawachelewi kukugeuza zuzu.Huyo anaeomba ruhusa sio mwanaume mwenzetu,sisi tunaongeza masuria kadri ya wallet zetu..nimuombe ruhusa yeye mzazi wangu,kanikuta na meno 32 na kende zangu
Nilikuwa nashangaa uzi unakwenda bila kupata neno toka kwako zaidi nilikuwa naona likes zako pekeeMmmhhh...
Aiswe na ndoa, kama ilikuwepo basi iwe imeevunjika kisheriaHaya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
GeitaHivi Vicky Kamata ni mwenyeji wa wapi??
Watanzania wengi hawapendi kufuata sheria na taratibu tulizojiwekea kama Taifa,si wasomi wala ma layman, hadi siku wakibananishwa Mahakamani wanaanza kumbwela mbwela 'ooh sikujua,mi nilijua ni hivi na ndiyo maana nikafanya hivyo" kutokujua sheria siyo utetezi eti usamehewe!!Aiswe na ndoa, kama ilikuwepo basi iwe imeevunjika kisheria
Hakuna sheria ya ndoa ya mwaka 2009. Acha kuwa kihiyo.Acha ujinga, jishirikishe na watu wenye akili. Nenda kasome sheria ya ndoa ya mwaka 2009 halafu ulete hicho kifungu
Kwa hiyo ameliwa mzigo miaka sita burebure kabisaSasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.
Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky Wanamuachaje?
Kuna haja ya kubadili mambo!Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.
Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.
Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.
Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.
Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia
Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.
Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.
Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.
Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.
Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.
Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".
View attachment 2755925
Likwelile alikuwa Mcuba, mtoto wa mjini. Anampa mchepuko gari ila hampi registration cardKwa hiyo ameliwa mzigo miaka sita burebure kabisa
Huko mbweni Likwelile alinunua hiyo nyumba kwa utaratibu unaofahamika kwani wengi waliohusika na taasisi za fedha wana nyumba kule wakiwemo binamu yake Likwelile marehemu Benno Ndullu former Bot governor, former deputy governors Lila Mkila and Natu Said-Elmamry ambae sasa ndio katibu mkuu Hazina!Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.